Wasukuma ni washamba na mazezeta kwenye mapenzi tena ukiwakamata vizuri unajenga kwenu halafu hawatahiriwi.
Misukuma ni mijeuriiiiiii, lo! Sijapata kuona.
Ila ni watamu, wanajua mapenzi.
Ila siku ukivuka mstari harudi hata ufanyeje.
huuuhh....vichepuo???????am confused
Right on the money......:A S thumbs_up:
Wana wivuuuu weeeee halaf watamu balaaaa kumbe nawe ushawaonjaaa
I hate him!!!!Hamna kitu kina-turn on kama ujeuri wao, few words ma-action makubwa.
Wako laid back, unabwabwaja anakutizama tu, unajiuliza maswali na kujijibu. Akiona haina maana ya kugombana anakupiga kitu cha maana, hasira zote kwapani, Daym I hate em.
Wao kuhonga si ishu, wanasemaga 'maguzu masese'-nguvu za kutafuta zipo tu. Kweli ukidate hawa watu, species zingine zinakushinda kabisa, lazima urudi home, where you belong.
Ila siku ukivuka mstari harudi hata ufanyeje.
I hate him!!!!
Wana wivuuuu weeeee halaf watamu balaaaa kumbe nawe ushawaonjaaa
You sure?