TabletFellow
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 918
- 274
Tumeishiwa hojaSio kwa dunia ya leo hizi habri za tribe perpertual mbona mnaziendekeza sana?
Suala la mapenzi ni pana kuliko tufikiriavyo ila ntakubalina na moja kuwa wasukuma sio wachoyo na wanapenda watu so angalia kama utamatch nao.
tatizo la wasukuma ni moja ni WANAFIKI sana
na kuwagundua inakuwa ni ngumu mpaka uishi nao
yaani kwa kupenda sawa ila huo UNAFIKI utawaondolea sifa yao
Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.
tatizo la wasukuma ni moja ni WANAFIKI sana
na kuwagundua inakuwa ni ngumu mpaka uishi nao
yaani kwa kupenda sawa ila huo UNAFIKI utawaondolea sifa yao
Am on that on to the next one part.
Oh hell yeah....we're god's gift to women!
Misukuma ni mijeuriiiiiii, lo! Sijapata kuona.
Ila ni watamu, wanajua mapenzi.
I see......
What do you see?
Wana wivuuuu weeeee halaf watamu balaaaa kumbe nawe ushawaonjaaa
Everything........
Mkuu weka picha inayoonesha wasukuma with their 'great love'! Baada ya hapo mtoa mada awalinganishe na wakurya ili afanye maamuzi sahihi.
Wasukuma ni washamba na mazezeta kwenye mapenzi tena ukiwakamata vizuri unajenga kwenu halafu hawatahiriwi.
tatizo la wasukuma ni moja ni WANAFIKI sana
na kuwagundua inakuwa ni ngumu mpaka uishi nao
yaani kwa kupenda sawa ila huo UNAFIKI utawaondolea sifa yao
Nimekushika eee kwa Karucee ulionjwaa ninii?
Mke wa mtu huyo na huwa sionji wake za watu mimi.
Asafali kumbe wasugusu a.k.a wasukuma hoyeeeee