Question of Development studies(DS) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Question of Development studies(DS)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Frank nzoka, Nov 4, 2011.

 1. F

  Frank nzoka Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Discuss the various faces of Development and explain the challenges that exist in defining development.
   
 2. E

  Emanuel audax Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  First of all development is the improvement from lower to higher stage in all aspect of individual or in group.
  The valius faces develo are following
  -good life (4people)
  -high education
  -èmprovement of life standard according to salary
  -emprovement of hous
  -emprovement of knowledge capacity
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Acha uvivu. fanya homework yako! kasome vitabu, mnapenda tu miteremko nyambaff...
   
 4. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  teh teh mkuu kusomea Oxford ni vizuri saana karibu(faces,emprovement) new kingereza words.
   
 5. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  ok faces and phases ovu divolopumenti inkuludi furonti andi baka feisi,dha inifrontiovu andi biahindi feisi.
  Akodingi tu bukusi riteni bai Rostou andi Samiri Amiri divelopumenti izi zea andi andadevelopumenti izi noti zea laiki ini yuropu.
   
 6. F

  Frank nzoka Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  No! What i need here is the word face as used in the question inachanganya. Maana nimeshinda library but vitabu stages of development and aspects zake. Sasa utata ni neno faces lilivyotumika. Others huniambia ni hatua za development na wengine huniambia ni aspects za development so naombeni mawazo yenu jamani.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Faces or phases? Challenges in definition is based on umahiri wa lugha na uelewa wa individual.
   
 8. F

  Frank nzoka Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Faces na si phases
   
 9. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Acha kukariri eti faces au phases,kinacho takiwa ni uelewa wako na unaweza kutoa maana yeyote ya neno development ilimradi lilete maana halisi ya hilo neno.
   
 10. JAPUONY

  JAPUONY JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 374
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamani wanafunzi wa Tanzania acheni uzembe wa kusoma kwa kukariri!.someni kwa nia ya kuelewa mambo. Leo mnasoma kwa kukariri, mtapata digrii zenu hizo halafu mtapata kazi(kama zipo) halafu ndo mje kuongoza nchi kwa digrii za kudesa! to me that is the most dangerous thing in Tanzania and specfically to the future leaders of this country. Mtaandamana kupinga CCM lakini najua hata mkipewa nchi hamuwezi kuongoza kwa stahili hii ya kudesa hadi humu JF!(mimi siyo CCM wala chama chochote cha siasa kwa sababu sioni chama "kinachonifaa".

  Anyway, swali linahitaji ueleze "Phases" siyo "faces" za Development. ili ujibu swali hilo vizuri kasome kitabu cha Walter Rodney na Vitabu vya Samir Amin lakini as a student at the University level(I think you are) soma vitabu vilevile vya western writers ili upate perspectives mbalimbali za term dvpt.

  just in short.
   
 11. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  No comment. Too intellectual for me.
   
 12. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa tulio soma DS100 na SD200 ngoja tukae kimyaaaa.Wenyewe wafanye kazi zao....
   
 13. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 802
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Nyie watoto wa 1st tushawachoka sasa....!!hvi hamuna library hku vyuoni kwnu,au mnasoma vyuo vya KATA NINI..,???umizeni vichwa kujibu maswali,kumbuka UE upo peke yko....!!kuna kilaza mwenzeno kala "DISCO" kisa kaingia na "headphone na phone" kwny UE...!!inavyoonesha nanyi mutafata nyayo za hyu kijana
   
 14. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  we simpaka ufaulu UE ndio uje hule bata wenzio hao wakishua chuo wameenda kuwakilisha na wengine kungojea scholarship so they don't have the motivation to study that hard.
   
 15. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tafuta mannual ya Dr. kopoka - ya Development studies - UDSM, au kama unaweza muone akupe tuition ya saa moja akuelezee. Siku hizi yupo UDOM.
   
 16. E

  Emanuel audax Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mphavu wezio wananyimana vi2 au kula lakin c elimu atuendi hivyo kama unalekebisha lekebisha
   
 17. E

  Emanuel audax Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mjomba nilikuwa shapu bt nimejua kosa langu pamoja sana
   
 18. E

  Emanuel audax Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mjomba nilikuwa shapu bt nimejua kosa langu pamoja sana
   
Loading...