Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,462
- 4,365
Wamemjua vipi? Kwa maana hiyo wewe unayo season 5 yote.Tulikuwa group moja
Wamemjua vipi? Kwa maana hiyo wewe unayo season 5 yote.Tulikuwa group moja
Wamejua kunajamaa alimchomea ndiyo ninayo japo inaendelea haijaishaWamemjua vipi? Kwa maana hiyo wewe unayo season 5 yote.
Oh! Kwani hata huko unatumia jina hili hili? Kama hivyo alikosea. Jina la hapa ni kwa ajili ya hapa tu.Wamejua kunajamaa alimchomea ndiyo ninayo japo inaendelea haijaisha
Wamejua kunajamaa alimchomea ndiyo ninayo japo inaendelea haijaisha
PoaKama unayo weka hapa, tuendelee kuisoma..
Tuekee na sisi hicho kipande kidogo ulichonacho jamani.... kulubule plz.Wamejua kunajamaa alimchomea ndiyo ninayo japo inaendelea haijaisha
Mkui tusaidie tafadhali VP badili id kisha Fanya mambo
Asante sana mkuuHeshma kwa Mkuu LEGE, nimekamilisha kile nilichokuwa nimekabidhiwa. Pasipo shaka weekend murua. Najua season 5 ni balaa. Asante sana Mkuu LEGE, mzigo nimeufikisha kadri nilivyoweza.
Wamemremove alikokuwa anatoa story
Hizi taarifa umezipata wapi?
Tulikuwa group moja
Wamemjua vipi? Kwa maana hiyo wewe unayo season 5 yote.
Wamejua kunajamaa alimchomea ndiyo ninayo japo inaendelea haijaisha
Oh! Kwani hata huko unatumia jina hili hili? Kama hivyo alikosea. Jina la hapa ni kwa ajili ya hapa tu.
Naomba basi uturushie hicho kipande kidogo kilicho tayari.
hizi habari mbaya sana kwetu hivi mtu unapata faida gani kwenda kumchomea lege jamaan na wakati anatupa story bure tu roho mbaya sana hii zaidi ya uuaji
sanaaa aisee huyu mtu alichokifanya sio kitu kizuri kabisaAisee kuna mijitu ina roho ya korosho.. Maninaa zao.!!!
mpaka tumeizoea hiyo Arostohii story imeletwa humu toka Feb 14,2017 hadi leo June 18,2017 ina miezi 4 sasa haijaisha,ni Arosto kwa kwenda mbele
hii story imeletwa humu toka Feb 14,2017 hadi leo June 18,2017 ina miezi 4 sasa haijaisha,ni Arosto kwa kwenda mbele