mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,690
Ndo maana sipendagi kusoma story ambazo mwisho wake unasuasua arosto tupu.
Naomba link mkuuMi napunguza arosto kwenye AM NOT A DOCTOR jamaa speed yake iko poa
ndivyo wanaanzagaMi napunguza arosto kwenye AM NOT A DOCTOR jamaa speed yake iko poa
Sijui namna ya kuweka link hapa ila iko jukwaa hili hili search hyo tittleNaomba link mkuu
Mi napunguza arosto kwenye AM NOT A DOCTOR jamaa speed yake iko poa
asante kwa taarifa mkuu.Speed isha buma kule
Hakuna mastori ya kijinga kama "machombezo" huko unaweza kuambiwa MTU kageuka helicopter au jini ameruka hadi Ulaya. Too much falsification.Mi napunguza arosto kwenye AM NOT A DOCTOR jamaa speed yake iko poa
hahahahaaaaaaaa nmecheka mpka pilau limenipaliaHakuna mastori ya kijinga kama "machombezo" huko unaweza kuambiwa MTU kageuka helicopter au jini ameruka hadi Ulaya. Too much falsification.
ndivyo wanaanzaga
Speed isha buma kule
asante kwa taarifa mkuu.
Hakuna mastori ya kijinga kama "machombezo" huko unaweza kuambiwa MTU kageuka helicopter au jini ameruka hadi Ulaya. Too much falsification.