Unataka nikapekenyue interview za miaka hiyo? Haya tuseme hakusaidiwa kuandikiwa bali alisaidiwa kuimba, vipi huo nao sio msaada? Acheni mambo ya utimu mtoe credit panapohusika, Kiba aliplay part kubwa sana kumng'arisha yule dada katika ile ngoma kuanzia audio mpaka video