Quarry extraction partner

Brandon

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
336
5
Wadau tunatafuta mtu aliye tayari mwenye uwezo wa kuleta mashine kwa ajili ya kusaga kokoto. Tuna eneo kubwa sana lugoba na lina very high deposit content.

Karibuni sana wadau. Any questin just ask.
 
Kwa hiyo partner mnayemtafuta ni wakuleta Cone Crusher plant? au wote kushirikiana kununua a crusher kwa hiyo shughuli! ni PM mkuu!
 
Do you have drilling machine? we have drills, we are expert in quarry operation, drilling,blasting, and Processing we have experience of over 20yrs. We believe that we are cheap, we are also doing consulting, PM me please
 
NimekuPM mkuu.
 
mashine ipi mkuu, na mheshimiwa gani?Mimi nitawauzia crusher kama mnahitaji (Jaw, Cone, Horizontal and Ventical Impactors) LT116.jpg LT116
brand-Metso
Kwa lolote, PM
 
Mkuu mmeshaanza operation? Na je mnaplan kutoa emplyment? Mimi ni mdau katika sekta ya mining na mnaweza kuniajiri kama kuna nafasi hiyo please PM na nitakutumia cv yangu.
 
mkuu mmeshaanza operation? Na je mnaplan kutoa emplyment? Mimi ni mdau katika sekta ya mining na mnaweza kuniajiri kama kuna nafasi hiyo please pm na nitakutumia cv yangu.

bado hatujaanza mkuu,ikianza nitakupm maana tunahitaji wataalamu kama ww.
 
Do you have drilling machine? we have drills, we are expert in quarry operation, drilling,blasting, and Processing we have experience of over 20yrs. We believe that we are cheap, we are also doing consulting, PM me please
boss kuna mdau wangu anashida na hiih uduma
 
Back
Top Bottom