environmental assessment?
Kwa hiyo partner mnayemtafuta ni wakuleta Cone Crusher plant? au wote kushirikiana kununua a crusher kwa hiyo shughuli! ni PM mkuu!
Do you have drilling machine? we have drills, we are expert in quarry operation, drilling,blasting, and Processing we have experience of over 20yrs. We believe that we are cheap, we are also doing consulting, PM me please
Mbona information zinakua kwenye kuPM tu! Kwani hii biashara ya unga wakuu?
Ile mashine ilotolewa sumbawanga na mheshimiwa imeharibika?
mkuu mmeshaanza operation? Na je mnaplan kutoa emplyment? Mimi ni mdau katika sekta ya mining na mnaweza kuniajiri kama kuna nafasi hiyo please pm na nitakutumia cv yangu.
kwa hiyo partner mnayemtafuta ni wakuleta cone crusher plant? Au wote kushirikiana kununua a crusher kwa hiyo shughuli! Ni pm mkuu!
bado hatujaanza mkuu,ikianza nitakupm maana tunahitaji wataalamu kama ww.
mkuu mbona umepotea? Vipi tena?
brandon nimesafiri kidogo nipo away na family tutawasiliana shortly
brandon nimesafiri kidogo nipo away na family tutawasiliana shortly
boss kuna mdau wangu anashida na hiih udumaDo you have drilling machine? we have drills, we are expert in quarry operation, drilling,blasting, and Processing we have experience of over 20yrs. We believe that we are cheap, we are also doing consulting, PM me please