Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 938
Tunataka serikali yenyewe ijenge viwanda kama ilivyoahidi kwenye ilani yake
Kuendelea kuforce uwekezaji kwenye nchi yenye sheria zenye matundu ni kufaidisha wachache
Au ni kwa nini wawekezaji wasiwe wazawa wenye uchungu na nchi yetu?
Mkuu Msherwa ukisema wazawa una maana gani. Quality Group ni mali ya watanzania. Na imeajiri watanzania zaidi ya 15,000 na wamekuja na mpango huu ili waajiri wengine zaidi ya 10,000
Kuna watu wenye pesa wengi tu wamekuwa wakitamani kuwekeza katika vitu SERIOUS lakini hawakuwahi kupewa nafasi
Sitaki kuamini kama kuna mtu atasema kwamba serikari imewahi kusupport uwekezaji wa ndani BILA MKONO wa siri
Kinachotakiwa ni wawekezaji wa ndani wote kupewa haki ya kufanya wanachoweza na sio matajiri wachache kushirikiana na PM kufanya vitu kwa suprise ambavyo nina hakika vitatucost mbeleni

labda umalaniwa ww,sasa uchangamkie fursa ipi??? kwani ww hujui watanzania zaidi ya 80% wanaishi chini ya $ 1 na hiyo 20% ya population inayobaki ndio wenye uwezo wa kupata angalau milo 3 lakini hawawezi ku invest!. kwani hujui hao wahindi walivyofaidika kupitia utawala wa ccm toka kipindi cha Mwinyi!.Hivi ndivyo ngozi nyeupe inavyofanikiwa na ngozi nyeusi ikibaki kulialia tu, very poor strategies and non-organised!
Serikali imetoa opportunity, anayetaka kuwekeza kwenye viwanda aje sisi tutamsaidia na kumpa ushirikiano afanikiwe, mweupe anachangamkia fursa fasta halafu mbongo anaanza kulalamika "Why him not me?"
Sijui tumelaaniwa???
Nadhani tunahitaji "Mental Reforms" kuliko kingine chochote!!!
Hivi ndivyo ngozi nyeupe inavyofanikiwa na ngozi nyeusi ikibaki kulialia tu, very poor strategies and non-organised!
Serikali imetoa opportunity, anayetaka kuwekeza kwenye viwanda aje sisi tutamsaidia na kumpa ushirikiano afanikiwe, mweupe anachangamkia fursa fasta halafu mbongo anaanza kulalamika "Why him not me?"
Sijui tumelaaniwa???
Nadhani tunahitaji "Mental Reforms" kuliko kingine chochote!!!
labda umalaniwa ww,sasa uchangamkie fursa ipi??? kwani ww hujui watanzania zaidi ya 80% wanaishi chini ya $ 1 na hiyo 20% ya population inayobaki ndio wenye uwezo wa kupata angalau milo 3 lakini hawawezi ku invest!. kwani hujui hao wahindi walivyofaidika kupitia utawala wa ccm toka kipindi cha Mwinyi!.
kiwanda chochote kinachojengwa au kumilikiwa na mhindi kwa Tanzania hakina manufaa yyte kwa mtanzania sana sana ni watu kupatvibarua vya kulipwa 4500 kwa siku.nashangaa hii serikali ya CCM inavyokumbatia hawa wahindi-hawa majamaa hawafai hata kwa bure
Watanzania kwa kulalamika hatujambo,ulishawahi kutaka kuwekeza ukazuiwa?Kuna watu wenye pesa wengi tu wamekuwa wakitamani kuwekeza katika vitu SERIOUS lakini hawakuwahi kupewa nafasi
Sitaki kuamini kama kuna mtu atasema kwamba serikari imewahi kusupport uwekezaji wa ndani BILA MKONO wa siri
Kinachotakiwa ni wawekezaji wa ndani wote kupewa haki ya kufanya wanachoweza na sio matajiri wachache kushirikiana na PM kufanya vitu kwa suprise ambavyo nina hakika vitatucost mbeleni
Tunataka serikali yenyewe ijenge viwanda kama ilivyoahidi kwenye ilani yake
Kuendelea kuforce uwekezaji kwenye nchi yenye sheria zenye matundu ni kufaidisha wachache
Au ni kwa nini wawekezaji wasiwe wazawa wenye uchungu na nchi yetu?
Au badala ya kujenga viwanda vipya, kwa nini visifufuliwe kwanza vile vya muhimu tulivyoviua?
Tanzania tuna uwezo wa kutengeneza matairi ya gari na tukashindana na nchi kubwa kibiashara
Viwanda vya sukari sio kiviiiiiile kama biashara kubwa za matairi, nguo na hata viwanda vidogo vya pembejeo na zana zingine za kilimo ambacho ni uti wa mgongo wa third world countries
Japo serikali ya sasa haioni kilimo kama ni cha muhimu tena
Msherwa, nasoma comment nakosa mtiririko, unachokataa ni kipi? Mara unasema serikali ndio ijenge mara wawekezaji wapewe sapport.
labda umalaniwa ww,sasa uchangamkie fursa ipi??? kwani ww hujui watanzania zaidi ya 80% wanaishi chini ya $ 1 na hiyo 20% ya population inayobaki ndio wenye uwezo wa kupata angalau milo 3 lakini hawawezi ku invest!. kwani hujui hao wahindi walivyofaidika kupitia utawala wa ccm toka kipindi cha Mwinyi!.
kiwanda chochote kinachojengwa au kumilikiwa na mhindi kwa Tanzania hakina manufaa yyte kwa mtanzania sana sana ni watu kupatvibarua vya kulipwa 4500 kwa siku.nashangaa hii serikali ya CCM inavyokumbatia hawa wahindi-hawa majamaa hawafai hata kwa bure
Watanzania kwa kulalamika hatujambo,ulishawahi kutaka kuwekeza ukazuiwa?
wewe umeshawahi kutaka kuwekeza mahali ukanyimwa support,au uliombwa rushwa,tuanzie hapo kwanza,coz unaweza ukajifanya unauchungu kumbe hata kuwekeza ka jenge tu cha kuuza nyanya hujawaiKuna watu wenye pesa wengi tu wamekuwa wakitamani kuwekeza katika vitu SERIOUS lakini hawakuwahi kupewa nafasi