Quality Centre: Largest Air Conditioned Shopping Mall in East & Central Africa

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
...Manji bwana! Sasa kajipa Uchifu wa Yanga!
Mwaka 2015 si ajabu naye akagombea ubunge wa jimbo la Jangwani na atapita bila kupingwa,akiwa mjengoni kazi kubwa itakuwa ni kuwapa lunch waheshimiwa ili wapitishe issue zake .Na natabiri kabla sijafa nitashuhudia raisi baniani akiaapishwa kuwa raisi wa kumi na .... wa Tanzania,ila nitafurahi pia kwani nitaanza kuuza dengu pale Magogoni kwa Mh Raisi Patel
 
Sio bara tu, popote duniani!!
Una hakika na unayoyasema? Hebu panua mawazo ya historia Marekani na South Africa upime impacts za kufanya mgomo wa kununa vitu madukani kwa wabaguzi wakati wa civil rights movement na apartheid
 
nachangia hapo kwenye bold...NI YA MANJI MKUU, ondoa shaka juu ya hilo. hapo Pugu road zifuatazo ni mali za manji...Quality Plaza, Quality garage(pembeni yake kuna bank M), Quality Motors (jirani na Sigara) hiyo Quality Center na kuna old building ambayo zamani ilikuwa na office za honda opp ya sigara
Mbona unatudanganya watu wazima? Quality Plaza ni mali ya PSPF na siyo mali ya Manji kama wengi tunavyojua
 
Ni kweli inamilikiwa na huyo bwana Manji na last two weeks kuna watu waliitwa kwenye interview ili kusimamia shoo hiyo mall ikishafunguliwa issue ikawa ni kwenye mshahara ambapo wao wanasema kuwa watakuwa wanalipa 150,000/- kwa mwezi hakuna jipya hapo wezi tu hawa jamaa
Jamani hii centre ni ya Manji,this is confirmed.

Tena kuna tetesi pale kwenye show room yake anapiga bei.

Stay tuned for an other movie
 
MANJI yupo juu....ni kweli kuwa huwezi kuihukumu business empire ya Yusafali Manji[babu yake]...kwa ajili ya siasa za sasa ...wamekuwa kwenye biashara kwa miaka 80..na ikumbukwe kuwa baba yake na babu yake pesa zao nyingi hawakuwekeza hapa kwa ajili ya siasa za ujamaaa...ni wazi Yusuf ameridhi pesa nyingi sana kwenye family deposits nje ya nchi na sasa taratibu anaanza kuzirudisha nchini kuwekeza ...ni jambo la kizalendo tuwatie moyo kuliko kuwakatisha tamaa kwa chuki binafsi............hatukatai sasa manji pia anatengeneza pesa lakini ni wazi .......kuwa hata angekuwa zezeta ...pesa iliyonayo ingetosha kufanya anayofanya...lakini ni ukweli uliodhahiri kuwa manji ni mfaanyabiashara mwenye kipaji na mkali sana wa business strategies..na mambo ya INVESTMENT kwa ujumla....you cannot undermine that...kwani ni wangapi wamerithi business empire na zinakufa????????

......TIC ikiweza kuwa aproach baadhi ya watanzania wenye asili ya asia ..bado kuna wengi hawajarudisha pesa ..though rate ya confidence inaongezeka ....i have friend of mine ...tunafanya naye joggin ..they have a simple shop along India street ....aliachiwa na babu yake....ndugu zake wengine wapo Canada ....sikuamini aliponiambia kuwa wana steel industries oversea ..ambayo inaendeshwa na wadogo zake ..na interest kwenye biashara kibao...lakini ukimkuta pale dukani kwake hutaamini..lazima tukubali hawa wenzetu wana despline ya pesa ...
 
Manji si aliyewauzia mifuko ya hifadhi jamii majengo kwa bei ya kuruka?

Si ndiyo huyo huyo aliyehusishwa na Kagoda?

Kulikoni na hizi sifa kebe kebe?
 
hela yetu tupu hii hakuna uwekezaji wa aina yoyote ile toka sources zake. manji katufisadisha na kaweka dude lake pale. tunashukuru tu ni kuwa kajenga huu mudubwana hapa hapa kwetu. angeweza kwenda kulijenga kokote kule...ambako angeweza kutoroshea hela zake chafu
 
Hebu tuiwajibishe serikali yetu iache wizi na matumizi mabaya na sisis siku moja tuwe na kamji ketu kalikojaa mashoping mall kama Gurgaon India
 
Kwa hiyo tunadhani kununua vya visadi kutamfanya asiibe? Kuna siku nilimsikia mtu akisema jamaa kwa Quality aliwahi kujigamba kuwa yeye hela anazo nyingi, na kwamba amerithi hela nyingi toka kwa babu yake, alizoachiwa na babake hajaanza kuzigusa na wala anazotengeneza yeye hategemei kugusa! Endapo utengenezaji wenyewe ni wa kifisadi...then kumbe kweli MAJI HUFUATA MKONDO!
Mkuu kununua kwa fisadi sio kosa. Is already investment, tupambane na ufisadi but sio kususia biashara zao
 
Tatizo letu Watanzania ni roho mbaya inatusumbua. Hao kina Manji wameanza biashara miaka 80 iliyopita hapa Dsm. Quality Garage ilikuwa miongoni mwa gereji mbili za ukweli hapa Tanzania, nyingine ni Yusufali. Mabasi ya KAMATA, MALORI, CHAI MAHARAGE, na dalala nyingi zilijengewa mabodi pale Quality garage toka enzi zile za Baba wa Taifa. Kampuni imekuwa na kuzalisha ambapo faida iliwezesha kuanzisha Quality Motors, Quality Centre nk. Ufisadi wa mjukuu Yusufu Manji ni wa juzi juzi tu. Hongera Quality Group kupendezesha Daslamu

Tatizo unakuruupuka,
soma tena maoni ya watu utagundua lifuatalo:-
1. Yusuph ameharibu jina la hii kampuni kwa kuingiza UFISADI au hujuhi alichofanya UBUNGO?
2. Miaka hiyo ya 1980 tulikuwa na tongotongo wengi utatuthibitishia vipi kuwa hii kampuni tokea miaka hiyo mwendondio huu huu wa UFISADI?
Hivi hawana madaeni NBC hawa? vip[i kule BOT hawadaiwi hawa Quality Group?
 
MANJI yupo juu....ni kweli kuwa huwezi kuihukumu business empire ya Yusafali Manji[babu yake]...kwa ajili ya siasa za sasa ...wamekuwa kwenye biashara kwa miaka 80..na ikumbukwe kuwa baba yake na babu yake pesa zao nyingi hawakuwekeza hapa kwa ajili ya siasa za ujamaaa...ni wazi Yusuf ameridhi pesa nyingi sana kwenye family deposits nje ya nchi na sasa taratibu anaanza kuzirudisha nchini kuwekeza ...ni jambo la kizalendo tuwatie moyo kuliko kuwakatisha tamaa kwa chuki binafsi............hatukatai sasa manji pia anatengeneza pesa lakini ni wazi .......kuwa hata angekuwa zezeta ...pesa iliyonayo ingetosha kufanya anayofanya...lakini ni ukweli uliodhahiri kuwa manji ni mfaanyabiashara mwenye kipaji na mkali sana wa business strategies..na mambo ya INVESTMENT kwa ujumla....you cannot undermine that...kwani ni wangapi wamerithi business empire na zinakufa????????

......TIC ikiweza kuwa aproach baadhi ya watanzania wenye asili ya asia ..bado kuna wengi hawajarudisha pesa ..though rate ya confidence inaongezeka ....i have friend of mine ...tunafanya naye joggin ..they have a simple shop along India street ....aliachiwa na babu yake....ndugu zake wengine wapo Canada ....sikuamini aliponiambia kuwa wana steel industries oversea ..ambayo inaendeshwa na wadogo zake ..na interest kwenye biashara kibao...lakini ukimkuta pale dukani kwake hutaamini..lazima tukubali hawa wenzetu wana despline ya pesa ...

Kaka asantye sana kwa maelezo yako,
Je unaweza kufafanua haya?
1. Mkopo wa 10 Bil kujenga Quality Plaza na kuiuza kwa 40+ Bil ?
2. kagoda?

Au ndio hela zao waliziweka huko BOT na sasa wamechukua?
vipi Nssf?
 
Let us be positive; ukweli ni kuwa ukoo wa Manji wameanza biashara siku nyiungi sana hapa Tanzania, na bodi za maroli na mabasi karibu yote Tanzania zilikuwa zinajengwa Quality garage. Sidhani kama ufisadi uliofanywa na Manji ulikuwa ni mkakati wake tu, nina imani kuwa kwa kiasi kikubwa mkakati huo ulisukwa na viongozi wetu wa serikali, ila Manji akawa ama amekaribishwa au ameombwa jina lake litumike ili amaslahi yake mengine ya biashara zake yalindwe na viongozi hao. Vinginevyo huenda alifanya ufisadi huo kutokana na kujua kuwa viongozi wetu wako loose, lakini sidhani kama ufisadi huo ulikuwa na impact kubwa sana katika utajiri wake
 
Tofauti ya mlimani city na quality centre

-Parking
Mlimani parking ni kubwa tofauti na quality centre ila na ya quality sio ndogo na wanaongeza parking sahivi
-Mall
Mlimani ni ndogo sana ukifananisha na Quality centre, Quality centre ina ground floor na mezzanine na ni kubwa kiupana na urefu. Hadi sasa ni mall kubwa Tanzania sijui kwa africa mashariki
-Maduka
Mlimani kuna maduka machache ukilinganisha na Quality centre, Quality centre kuna maduka mengi and alot of varieties
-Umbali
Mlimani ni karibu kwa watu wa mbezi, tegeta, kawe, mwenge na walio karibu na hapo, ila Quality iko mahali ambapo watu wa town, kariakoo, ilala, temeke, tandika, tabata, masaki, kijitonyama, mikocheni na huku maeneo ya airport karibu kufika.
-Cinema
Mlimani kuna only three theaters wakati Quality centre kuna theater 7 na ni kubwa kuliko ya huku mlimani.
Quality centre kuna sehemu special ya michezo ambayo hamna hata sehemu moja hapa tanzania wanayo sehemu hio, kwa hio itakuwa ni mall ambayo itatembelewa na watu wengi
 
Kaka asantye sana kwa maelezo yako,
Je unaweza kufafanua haya?
1. Mkopo wa 10 Bil kujenga Quality Plaza na kuiuza kwa 40+ Bil ?
2. kagoda?

Au ndio hela zao waliziweka huko BOT na sasa wamechukua?
vipi Nssf?

1-Jenga nyumba yako ukimaliza niambie utaiuza kwa bei gani, nadhani na wala sitegemei utaiuza kwa thamani uliojengea.
2- amechukua mkopo wa bilioni kumi je una uhakika amejenga kwa thamani hio? mkopo hupewi kama hujaingiza kiasi fulani kutoka mfukoni mwako katika project ya aina yoyote. Kama project yako ina cost 16 bil. mkopo utapata just some % ya hio cost inategemea na policy walioiweka hao wanaokupa mkopo.
3-Democracy is controlled by business ppl this is the reality usidanganyike na propaganda za wazungu.
4-Kama evidence zipo kwa tuhuma ulizozitoa nadhani angelukwa ameshtakiwa ila sitegemei kama Atashtakiwa coz ni mfadhili mkubwa wa CCM na CHADEMA
 
Mwaka 2015 si ajabu naye akagombea ubunge wa jimbo la Jangwani na atapita bila kupingwa,akiwa mjengoni kazi kubwa itakuwa ni kuwapa lunch waheshimiwa ili wapitishe issue zake .Na natabiri kabla sijafa nitashuhudia raisi baniani akiaapishwa kuwa raisi wa kumi na .... wa Tanzania,ila nitafurahi pia kwani nitaanza kuuza dengu pale Magogoni kwa Mh Raisi Patel

Mimi sitoshanga ikiwa Nyerere alimchagua waziri wa fedha mhindi, Mkapa na Kikwete walimpa Zakia Meghji uwaziri kwahiyo mwaka fulani raisi anaweza kuwa mtanzania mwenye asili ya kihindi
 
hela yetu tupu hii hakuna uwekezaji wa aina yoyote ile toka sources zake. manji katufisadisha na kaweka dude lake pale. tunashukuru tu ni kuwa kajenga huu mudubwana hapa hapa kwetu. angeweza kwenda kulijenga kokote kule...ambako angeweza kutoroshea hela zake chafu
Hujakosea ila hivi ndivo tunavyofanyiwa Duniani na Hasa Africa Wazungu wanakuja kuwezeka Tanzania kwa kutumia hela zetu tunazo ziweka benki ya dunia na kodi hawalipi, hela zetu tunazoziweka benki ya dunia ndio zinazotumika na wazungu vitani kwa manufa yao.
kwa hiyo bosi wangu wewe kubali matokeo, we are in the system and we have to accept it.
 
Tofauti ya mlimani city na quality centre

-Parking
Mlimani parking ni kubwa tofauti na quality centre ila na ya quality sio ndogo na wanaongeza parking sahivi
-Mall
Mlimani ni ndogo sana ukifananisha na Quality centre, Quality centre ina ground floor na mezzanine na ni kubwa kiupana na urefu. Hadi sasa ni mall kubwa Tanzania sijui kwa africa mashariki
-Maduka
Mlimani kuna maduka machache ukilinganisha na Quality centre, Quality centre kuna maduka mengi and alot of varieties
-Umbali
Mlimani ni karibu kwa watu wa mbezi, tegeta, kawe, mwenge na walio karibu na hapo, ila Quality iko mahali ambapo watu wa town, kariakoo, ilala, temeke, tandika, tabata, masaki, kijitonyama, mikocheni na huku maeneo ya airport karibu kufika.
-Cinema
Mlimani kuna only three theaters wakati Quality centre kuna theater 7 na ni kubwa kuliko ya huku mlimani.
Quality centre kuna sehemu special ya michezo ambayo hamna hata sehemu moja hapa tanzania wanayo sehemu hio, kwa hio itakuwa ni mall ambayo itatembelewa na watu wengi

it seems unaifahamu sana hii mall ya manji.umemsaidia bw. manji kutangaza mall yake kwa wale ambao walikuwa hawaijui. tuma maombi ya kupewa kibarua ndugu yangu, utafanikiwa.
 
i147_QualityCenter.jpg

i148_QualityCenter1.jpg

i149_QualityCentre2.jpg

Note: Ipo Pugu road. Picha zimepigwa kwa simu.
ni Nyerere road.
 
Back
Top Bottom