Quality Centre: Largest Air Conditioned Shopping Mall in East & Central Africa

M

MegaPyne

Guest
i147_QualityCenter.jpg

i148_QualityCenter1.jpg

i149_QualityCentre2.jpg

Note: Ipo Pugu road. Picha zimepigwa kwa simu.
 
hey thanks for the update...i real wanted to see this
 
mbona ujalipiga kwa ndani kaka..tunataka tuone vitu..hawa mungiki wamezidi kutunyanyasa na westland/nakumati yao
 
Tukinunua Tumerogwa!

Ni kauli ya Mwanakijiji hiyo!

Haya maduka ndo yaleyaleeeee ya jamaa walewaleee!
...narudia tena..tukinunua humo tumerogwa!
 
Just think of this.. Quality Plaza (Manji, Na hii ipo karibu sana na hii Quality Centre) Quality Centre ( I guess its Manji tuu).
 
mbona ujalipiga kwa ndani kaka..tunataka tuone vitu..hawa mungiki wamezidi kutunyanyasa na westland/nakumati yao

Sasa Mkuu.. Hizo picha zimepiga kwa camera ya simu kwa uwizi mtu akiwa katika gari.. Picha za ndani itakuwa ni ngumu. Isitoshe, its still under construction.
 
Sasa Mkuu.. Hizo picha zimepiga kwa camera ya simu kwa uwizi mtu akiwa katika gari.. Picha za ndani itakuwa ni ngumu. Isitoshe, its still under construction.

Achana na huyu jamaa MP!

Mi nakwambia TUKINUNUA HUMO TUMEROGWA...

nI MADUKA YA KIFISADI HAYA...DONT EVEN GO CLOSE THERE, USIJE UKATAMANI KITU...NA BIBLE INATUAMBIA USIKARIBIE BARAZA YA MWENYE HILA...huh!
 
Mkuu... Ila kutafurika watu ile mbaya.. Ngoja kukamilike
 
Itakuwaje the largest shopping Mall in East Africa wakati hata Mlimani City shopping mall haikamati kwa mbali sana, pia haina facilities za kutosha kwa mfano car parking area.
 
Jamani hii centre ni ya Manji,this is confirmed.

Tena kuna tetesi pale kwenye show room yake anapiga bei.

Stay tuned for an other movie
 
Just think of this.. Quality Plaza (Manji, Na hii ipo karibu sana na hii Quality Centre) Quality Centre ( I guess its Manji tuu).

nachangia hapo kwenye bold...NI YA MANJI MKUU, ondoa shaka juu ya hilo.

hapo Pugu road zifuatazo ni mali za manji...Quality Plaza, Quality garage(pembeni yake kuna bank M), Quality Motors (jirani na Sigara) hiyo Quality Center na kuna old building ambayo zamani ilikuwa na office za honda opp ya sigara
 
Tukinunua Tumerogwa!

Ni kauli ya Mwanakijiji hiyo!

Haya maduka ndo yaleyaleeeee ya jamaa walewaleee!
...narudia tena..tukinunua humo tumerogwa!

Sina tatizo lolote na Manji na mtu yeyote anayewekeza tanzania, at least count me to be one of his loyal customers.

Ila nina tatizo kubwa sana na waTanzania wenzetu wanaotudanganya kwamba mishara yao ni laki 5 wakati total revenue ya mwezi ni milion 10! safari, semina, vikosi kazi, mkutano wa bodi etc.
 
someni hayo maandishi vizuri largest air conditional shopping mall na sio largest shopping mall by area or number of shops
 
Achana na huyu jamaa MP!

Mi nakwambia TUKINUNUA HUMO TUMEROGWA...

nI MADUKA YA KIFISADI HAYA...DONT EVEN GO CLOSE THERE, USIJE UKATAMANI KITU...NA BIBLE INATUAMBIA USIKARIBIE BARAZA YA MWENYE HILA...huh!

haaa we na upepo mwanana wa AC ntaenda mimi hata kununua vocha ya simu.Ntasimulia nini kwa wajukuu zangu
 
yah huyo ni manji na hiyo Quality ni jina la biashara zao tangu baba yake Mzee Manji na ile QULITY GROUP, KWA HIYO STILL ANAENDELEZA QUALITY......
 
Back
Top Bottom