Quality Centre: Largest Air Conditioned Shopping Mall in East & Central Africa

Tukinunua Tumerogwa!

Ni kauli ya Mwanakijiji hiyo!

Haya maduka ndo yaleyaleeeee ya jamaa walewaleee!
...narudia tena..tukinunua humo tumerogwa!

Mkuu nakuunga mkono mia kwa mia!!! yaani anachkua pesa za wastaafu na marehemu, anazipamba kwa vioo halafu anataka twende ndani yake kununua vyetu kumuongezea pesa zaidi ya alizotuibia!!!??? Gademu!!

Tatizo ni utekelezaji maana yeye hata tukisusa atakula kodi japo kwa muda.. Yusuph ameharibu sana jina la Quality Group

Uzuri ni kwamba hata hiyo complez yenyewe iko kushoto na purchaisng power ya Dar to a significant extent
 
m.......ndivyo ilivyo,mtu akiwekeza bongo wivuuu akipeleka pesa zake New Jersey wivu pia ....sasa mnataka wafanye nini???tupunguze wivu kidoooogooooooo

I agree with you,
Ni kweli jamaa ni fisadi lakini kama kawekeza Bongo na analipa kodi vizuri kafanya jambo zuri.
Aache ufisadi, wizi na dhuluma zote afanye biashara zake kihalali sasa.
 
Tukinunua Tumerogwa!

Ni kauli ya Mwanakijiji hiyo!

Haya maduka ndo yaleyaleeeee ya jamaa walewaleee!
...narudia tena..tukinunua humo tumerogwa!
Hiyo biashara ya pemba CUF na CCM kutokuenda kwenye duka la mwenzake haifanyi kazi bara..
nafikiri ntaenda kuona wanauzaje na wanauza nini?
 
At least tunaona fedha zetu zilipo, tutaambulia japo kodi, ajira, ......... ikilinganishwa na mijengo yetu iliyopo Dubai, Afrika Kusini, Ulaya na Marekani.
 
Achana na huyu jamaa MP!

Mi nakwambia TUKINUNUA HUMO TUMEROGWA...

nI MADUKA YA KIFISADI HAYA...DONT EVEN GO CLOSE THERE, USIJE UKATAMANI KITU...NA BIBLE INATUAMBIA USIKARIBIE BARAZA YA MWENYE HILA...huh!

Mkuu kununua kwa fisadi sio kosa. Is already investment, tupambane na ufisadi but sio kususia biashara zao
 
Kaka lengo lake si kuwekeza kwenye hii mall. soon tutasikia yale yale....... PSPF na NSSF washalinunua kwa hela zetu za pensheni. Tena kwa bei ya ajabu na tusishangae kusikia tena kwa fedha amelijenga kwa fedha alizokopa huko.Ni mapema sana kusahau pigo lililotupata kwa Quality Plaza na Gordown za Ubungo.

Ni vyema kawekeza ila hili ni pigo jingine, na soon tutalia tena. Fisadi ni fisadi tu na naimani fedha hii ni tamu kama kula nyama ya mtu. ukishaianza huwezi kuiacha.


Yetu Macho
 
Sina tatizo lolote na Manji na mtu yeyote anayewekeza tanzania, at least count me to be one of his loyal customers.

Ila nina tatizo kubwa sana na waTanzania wenzetu wanaotudanganya kwamba mishara yao ni laki 5 wakati total revenue ya mwezi ni milion 10! safari, semina, vikosi kazi, mkutano wa bodi etc.

Right. After all, kuna uwezekano mkubwa kuwa watakaofanya biashara katika hayo majengo ni watu wengine. Manji atakusanya rent tu.
 
Sijawahi kuona mall ambayo sio airconditioned especially in the tropics, can someone educate me on this please!!!!!!!!!
 
Tukinunua Tumerogwa!

Ni kauli ya Mwanakijiji hiyo!

Haya maduka ndo yaleyaleeeee ya jamaa walewaleee!
...narudia tena..tukinunua humo tumerogwa!

Afadhali aina hii ya ufisadi, kuliko ufisadi wa kutuibia na kwenda kuweka mapesa beni nchi za ng'ambo.kwa jinsi ilivyo, ninapoona Quality, naamini ni Y. manji!!
 
Sina tatizo lolote na Manji na mtu yeyote anayewekeza tanzania, at least count me to be one of his loyal customers.

Ila nina tatizo kubwa sana na waTanzania wenzetu wanaotudanganya kwamba mishara yao ni laki 5 wakati total revenue ya mwezi ni milion 10! safari, semina, vikosi kazi, mkutano wa bodi etc.

nasema hivii, katika nchi kama hii ambayo tayari ufisadi na wizi umeshatushinda kuupiga vita, basi ni kheri na wizi wa aina hii hata kama nao unachukukiza!!! heri anayeiba na kuwekeza kuliko anayeiba na kwenda kuwekeza ulaya. Baada ya kupita muda fulani, pesa zilizoibwa( tusisahau tunahisi za kuiba, we're not sure) zitarudi kupitia kodi mbalimbali na mishahara.
 
at least tunaona fedha zetu zilipo, tutaambulia japo kodi, ajira, ......... Ikilinganishwa na mijengo yetu iliyopo dubai, afrika kusini, ulaya na marekani.

inauma sana, tafadhali kaka nakuomba usirudie tena hii kauli yako. Inaumaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! Fisadi ni fisadi, lakini fisadi wa aina ni lifisadi
 
Tatizo letu Watanzania ni roho mbaya inatusumbua. Hao kina Manji wameanza biashara miaka 80 iliyopita hapa Dsm. Quality Garage ilikuwa miongoni mwa gereji mbili za ukweli hapa Tanzania, nyingine ni Yusufali. Mabasi ya KAMATA, MALORI, CHAI MAHARAGE, na dalala nyingi zilijengewa mabodi pale Quality garage toka enzi zile za Baba wa Taifa. Kampuni imekuwa na kuzalisha ambapo faida iliwezesha kuanzisha Quality Motors, Quality Centre nk. Ufisadi wa mjukuu Yusufu Manji ni wa juzi juzi tu. Hongera Quality Group kupendezesha Daslamu
 
manji Anasema kwa sasa anakula pesa za babu yake,za baba na za kwake bado!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom