Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,079
- 2,334
Mie nimeingia. Ni nzuri mno, lakini kiuwekezaji haikutakiwa kuwa pale. Watu watu wataenda pale kuuza sura na utalii, sio shopping. Income patern ya eneo ni muhimu, na ili ilipe vema idadi ya wanunuzi lazima iwe kubwa. Sina takwimu lakini mlima city ilianza kuuza tangu siku ya kwanza. Quality bado kunasuasua.