Quality blocks (matofali) from halaal co ltd....

Quality blocks (matofali) from halaal co ltd....

Asante sana kwa ushauri wako mkuu,KARIBU HALAAL Co. Ltd.

Ahsante mkuu, kwa sisi wa hela za kudunduliza naweza lipa kwa installments ukanipa risit then nikimaliza ukanikabidhi mzigo?

Ubarikiwe
 
Ahsante mkuu, kwa sisi wa hela za kudunduliza naweza lipa kwa installments ukanipa risit then nikimaliza ukanikabidhi mzigo?

Ubarikiwe

Ndio mkuu,inawezekana kabisa,na hata principles za uchumi zinakubaliana nalo,KARIBU SANA...
 
Hizi tofali za matundu ni tofali bora na za gharama nafuu sana( saving ni zaidi ya 35%). Ni tofali za kisasa, high quality finishing kwa gharama nafuu( affordable). Tofali hizi zinajengwa bila kutumia cement, na hivyo saving ni kubwa sana. Angalia mabweni hayo na hiyo nyumba ya mwalimu inayoendelea kujengwa. Hapa ni shule ys mubaba( njia ya kuelekea geita karibu na mgodi wa mafini wa tulawaka).
Hizi tofali ni ngumu sana asikwambie mtu. Shughuli yake ataiona fundi bomba wakati wa kutindua ili kupitisha bomba.
 
Karibuni wateja,tofali zetu zinafaa sana hata kuanzia msingi(foundation),ubora uko juu ni sawa na tofali za kokoto,KARIBUNI.
 
Nashukuru sana wadau,nimeshaanza kupata wateja,na wengine pia KARIBUNI.
 
Jenga na Quality blocks kutoka Halaal Co. Ltd kwa ujenzi BORA na IMARA.....Karibuni sana!
 
Jenga IMARA kwa kizazi kijacho,karibuni sana!
 
je? sisi WAGALATIA NA WAYAHUDI pia tunaruhusiwa kununua hizo tofali? manake jina tu hili naona limekaa kimtego sana, kama kwa minajiri ya udini vile...au mlilenga watu wa dini fulani tu, mlitumia vigezo gani kuchagua jina ambalo dunia nzima ipo kwenye attention nalo kiasi hicho....
 
Asante mkuu,watu wa dini na kada zote mnakaribishwa,jina Halaal ni neno la kiarabu maana yake 'halisi na halali isiyo na mashaka'...yan hatukuibii cement,kukuuzia tofali zilizochakachuliwa,hatumwagii maji ya chumvi n.k...,bidhaa zetu ni halali kwa malipo husika(VALUE FOR MONEY)...KARIBU SANA MKUU!
 
Karibun sana wateja wetu,mje kupata matofali bora kabisa!
 
If you want quality blocks,plz Halaal Company Ltd is your genuine answer,WELLCOME...!
 
Acha uongo mkuu,mbona nauliza ni wapi unashindwa kusema?Be straight kuwa ni sehemu fulan,lakin nna uhakika haujawah kufika,na had leo hakuna mtu amewah kuuliza matofali ya wazi,sema hapa uumbuke kuwa ni wapi?
Ndugu unafanya biashara au ugomvi?.....wateja unatakiwa kuwa "handle with care" hata kama matamshi yao yanaudhi.....wewe badala ya kutuelekeza ulipo unaanza kutuuliza kama tunajua wapi ulipo....then what?
 
Sawa mkuu,ukisoma post zote unaelewa zaidi kuliko moja,nimetoa maelezo ya wapi tulipo zaid ya mara moja,TUPO TEGETA DSM,KARIBU SANA MKUU.
 
Sawa mkuu,ukisoma post zote unaelewa zaidi kuliko moja,nimetoa maelezo ya wapi tulipo zaid ya mara moja,TUPO TEGETA DSM,KARIBU SANA MKUU.
Nimesoma thread yote yes.....TEGETA kubwa sana sasa nyiye mko wapi
 
Nimesoma thread yote yes.....TEGETA kubwa sana sasa nyiye mko wapi

Tegeta kituo cha Nyaishozi,ukishuka tu kama unatoka Mwenge tupo pemben ya barabara upande wa kushoto,ukishuka tu kituon unaingia site,KARIBU SANA MKUU.
 
Mkuu Mkayala kama majibu yako ndio haya ya mkato mkato, basi naona wewe na wenzako wanao lalamikiwa na wana JF mna tatizo somewhere i.e arrogance zenu ziko too obvious!!

Kumbuka wateja ni wafalme, unapaswa kupanga majibu yako kwa umakini sana unapo ulizwa na wateja hata kam unaona hayana mantiki yoyote wewe mezea TU; huo ndio ushauri wangu. Cheers.
 
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri....karibu sana Halaal Co. Ltd....!
 
Back
Top Bottom