Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Back again from the dead, mkuu Makayala ndugu Ubungobungo anacho kushauri kina maana sana - labda nikupe mfano: Yalipo tokea maafa ya kulipuliwa majengo tasa Mjini New York - muhusika mkuu i.e Bin Laden alikuwa na ndugu zake walio kuwa wanaishi Merikani wanafanya Biashara; ndugu zake hao hawakuhusika na mipango hiyo ya kutisha na Serikali ya Merikani ililijua hilo ndio maana hawakuchukuliwa hatua yoyote!
Sasa kilicho kuja tokea baadae ni nini? Ndugu zake waliamuha kubadilisha jina la ukoo yaani bin Laden 2 bin Ladini 4 a reason; nieleweke kwamba nalisema hili kwa nia nzuri tu, si unaona mwenyewe watu wamekwisha anza kuhoji jina la kampuni - kwa kiarabu jina hilo alina tatizo hata kidogo lakini ukumbuke si kila mtu analiona hivyo!