Quality blocks (matofali) from halaal co ltd....

Quality blocks (matofali) from halaal co ltd....

Karibuni wateja,jenga na tofali imara,usijenge na tofali ubuyu....KARIBU.
 
Ubora wa matofali unatokana na vitu vingi,AINA YA CEMENT,AINA YA MCHANGA,MAJI UNAYOTUMIA,MASHINE BORA,UZOEFU WA MAFUNDI N.K....Kwetu yote hayo yanazingatiwa,KARIBUNI.
 
Of c yenu iko wapi kwan n je, uk nunua, usafir unapatiwa au

Tupo TEGETA kituo kinaitwa NYAISHOZI,site iko barabaran upande wa kushoto kama unatoka Mwenge.Kuhusu usafiri utapata,wewe karibu tuje tuongee,KARIBU.
 
Ipo TEGETA kituo kinatwa NYAISHOZI,site iko barabaran upande wa kushoto kama unatoka MWENGE....Kuhusu usafir unapata,wewe njoo tuongee,KARIBU SANA.
 
Ipo TEGETA kituo kinatwa NYAISHOZI,site iko barabaran upande wa kushoto kama unatoka MWENGE....Kuhusu usafir unapata,wewe njoo tuongee,KARIBU SANA....
 
Ipo TEGETA kituo cha NYAISHOZI,barabaran upande wa kushoto kama unatoka MWENGE....Usafir upo njoo tuongee,KARIBU SANA.
 
KARIBUNI wateja wetu,utafurahia bidhaa zetu zenye ubora wa hali ya juu...!
 
Site yetu iko pembezon mwa barabara kabisa,gar inaingia vizur na unapakia mzigo kwa urahis kabisa,KARIBUNI.
 
Acha uongo mkuu,mbona nauliza ni wapi unashindwa kusema?Be straight kuwa ni sehemu fulan,lakin nna uhakika haujawah kufika,na had leo hakuna mtu amewah kuuliza matofali ya wazi,sema hapa uumbuke kuwa ni wapi?
Wala haihitaji mwangaza wa mshumaa kujua hii kampuni ina watu wajeuri, wee unapata bahati ya watu kukwambia sifa za kampuni yako badala ya kuchukua na kufanyia kazi, unazidi kudhihirisha ujeuri!? Kuwa mpole na mkarimu jibu hoja/tuhuma kwa hekma
 
Sawa asante,lakin mtoa tuhuma si mkwel ndio maana nimemuuliza swali dogo tu kama kwel anajua tulipo kaingia mitini.Hao ni wauza tofali pia maeneo ya Tegeta,lengo ni kuchafua anasifia yake!
 
Karibun mpate matofali IMARA yaliyotengenezwa kwa CEMENT ORIGINAL YA PAKISTAN.....
 
Epuka mipasuko katika nyumba yako kwa kujenga na matofali yenye UBORA wa hali ya juu toka HALAAL Company Ltd....KARIBUNI.
 
Acha uongo mkuu,mbona nauliza ni wapi unashindwa kusema?Be straight kuwa ni sehemu fulan,lakin nna uhakika haujawah kufika,na had leo hakuna mtu amewah kuuliza matofali ya wazi,sema hapa uumbuke kuwa ni wapi?
Samahani sikukujibu maana ilibidi niende Arusha kuwajulua hali wenzetu maana imekuwa fasheni kwa kila kiongozi kuenda Hospitali Arusha na kupigwa picha. Kwa vile mimi ni kiongozi wa walalahoi ilibidi niende kwa bajaji ingawa wao wanaenda kwa ndege. RED - nadhani picha inajionyesha, kama sio kwenyewe nitaomba unisamehe IMG_0453.JPG block.jpg
 
Sawa asante,lakin mtoa tuhuma si mkwel ndio maana nimemuuliza swali dogo tu kama kwel anajua tulipo kaingia mitini.Hao ni wauza tofali pia maeneo ya Tegeta,lengo ni kuchafua anasifia yake!
Samahani nadhani picha umeipata
 
Ipo TEGETA kituo cha NYAISHOZI,barabaran upande wa kushoto kama unatoka MWENGE....Usafir upo njoo tuongee,KARIBU SANA.
Kukudhihirishia kwamba dogo mimi nakufahamu sana, hilo lilikuwa shamba la Mama Munuo alikuwa anafuga nyati na sasa linamilikiwa na mwanaye Frank Munuo. Mpo jirani na kiwanda cha kutengeneza vyakula vya kuku cha mpemba. Bisha
 
Nashukuru kwa taarifa,je mna washauri wa ujenzi?Nahitaji matofali haraka na nataka kujenga nyumba vyumba vitano,sebule,jiko,dinning an bafu,je ni matofali kiasi gani na je mtanibebea hadi msewe?je mna mafundi wa ujenzi wa kuaminika na kma mnao nitumie massage private
 
Back
Top Bottom