Quality blocks (matofali) from halaal co ltd....

Quality blocks (matofali) from halaal co ltd....

Nashukuru kwa taarifa,je mna washauri wa ujenzi?Nahitaji matofali haraka na nataka kujenga nyumba vyumba vitano,sebule,jiko,dinning an bafu,je ni matofali kiasi gani na je mtanibebea hadi msewe?je mna mafundi wa ujenzi wa kuaminika na kma mnao nitumie massage private
Kwenye Red utawaonea maana na foleni hizi sijui. Ila kaka yangu nisimsemee maana siku hizi fedha inaweza kufanya lolote
 
Kukudhihirishia kwamba dogo mimi nakufahamu sana, hilo lilikuwa shamba la Mama Munuo alikuwa anafuga nyati na sasa linamilikiwa na mwanaye Frank Munuo. Mpo jirani na kiwanda cha kutengeneza vyakula vya kuku cha mpemba. Bisha

Nashukuru sana kwa picha hizo,tena nashukuru kwa kunisaidia ku upload pics nzuri,nafikiri wateja wanaziona bidhaa zangu vizur,hii baada ya kuwa nimeshamuelekeza mteja katika uzi huu,ukapafahamu vizuri,asante...,....By the way naomba msaada wako,ulikuja tarehe ngapi na wafanyakaz walikuwa vip,naomba nisaidie hata kwa PM,ili iwe msaada kwangu,ASANTE.
 
Kukudhihirishia kwamba dogo mimi nakufahamu sana, hilo lilikuwa shamba la Mama Munuo alikuwa anafuga nyati na sasa linamilikiwa na mwanaye Frank Munuo. Mpo jirani na kiwanda cha kutengeneza vyakula vya kuku cha mpemba. Bisha

Ni kweli,lakin baada ya mimi kuelezea eneo lenyewe kwa undan,nikimjibu mteja,any way karibu upate bidhaa zetu bora,kama kuna ushauri na lengo lako ni zuri ungekuja PM,lakin hapa lengo lako liko wazi,karibu sana mkuu...!
 
Nashukuru kwa taarifa,je mna washauri wa ujenzi?Nahitaji matofali haraka na nataka kujenga nyumba vyumba vitano,sebule,jiko,dinning an bafu,je ni matofali kiasi gani na je mtanibebea hadi msewe?je mna mafundi wa ujenzi wa kuaminika na kma mnao nitumie massage private

Asante mkuu,washauri wa ujenzi na mafundi tunao,wanafanya tathmin yako then ntakuja PM,kuhusu kubeba had msewe hamna shida mkuu,KARIBU SANA,..!
 
Ndugu wateja,karibun sana,site yetu inafikika kwa urahisi sana katika KUBEBA MZIGO........Karibuni sana.
 
Kuhusu hayo matofali ya matundu( SOIL CEMENT INTERLOCKING BRIKC) zenyewe zinapatikana mwenge ofisi za NATIONAL HOUSING AND BUILDING RESEARCH AGENCY? ukitokea mwenge kama unaenda ubungo, round about ya kwanza tu inayoelekea Tra upande wa kulia( kati ya oil com na kambi ya jeshi)
 
Hizi tofali za matundu ni tofali bora na za gharama nafuu sana( saving ni zaidi ya 35%). Ni tofali za kisasa, high quality finishing kwa gharama nafuu( affordable). Tofali hizi zinajengwa bila kutumia cement, na hivyo saving ni kubwa sana. Angalia mabweni hayo na hiyo nyumba ya mwalimu inayoendelea kujengwa. Hapa ni shule ys mubaba( njia ya kuelekea geita karibu na mgodi wa mafini wa tulawaka).
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1368423662912.jpg
    uploadfromtaptalk1368423662912.jpg
    139.3 KB · Views: 103
  • uploadfromtaptalk1368423680974.jpg
    uploadfromtaptalk1368423680974.jpg
    95.1 KB · Views: 104
  • uploadfromtaptalk1368423702514.jpg
    uploadfromtaptalk1368423702514.jpg
    158 KB · Views: 213
nikishaona iyo kitu "halaal " tu, naona harufu ya udini, hapo sigusi, na umepunguza wateja wengi sana kwa uchaguzi mbovu wa jina la biashara yako.....upunguani sio lazima uzaliwe nao, hata profesa wa chuo kikuu anaweza kuwa punguani vilevile....msitugawe kwa minajiri ya dini, hawa mtake wanunue vitu mnavyoita halaal, na vya wengine mseme sio halaal.
 
jina la kampuni pls na location ilipo hapo tegeta.

Halaal Co. Ltd,,,,ni neno la kiarabu maana yake ni HALALI yan Sikuibii cement,sikuuzii tofali zilizochakachuliwa,nakuuzia bidhaa bora kwa bei halali (VALUE FOR MONEY).....Tupo TEGETA kituo cha NYAISHOZI upande wa kushoto wa barabara kama unatoka MWENGE,.....Karibu sana mkuu.
 
Yah! Hizi ndiyo tofali za interlock. Hutumii cement kabisa kwenye kuunganisha matofali, na hata nje wakati wa finishing unafanya pointing tu na kupaka brick varnish( hapa napo una-save kiasi kikubwa cha cement ya kupiga plasta nnje kama ungejenga kwa sand-cement block).
 
Bei ya bidhaa????

1200 Tz sh kwa inch 6 plain,na 1100 Tz sh kwa inch 5 plain,karibu ofisin uione bidhaa bora iliyotengenezwa kwa LUCKY CEMENT ORIGINAL FROM PAKISTAN...
 
1200 Tz sh kwa inch 6 plain,na 1100 Tz sh kwa inch 5 plain,karibu ofisin uione bidhaa bora iliyotengenezwa kwa LUCKY CEMENT ORIGINAL FROM PAKISTAN...
Ok.
Jee nyumba kubwa yenye 5bed rooms,loung,dining,kitchen,store,study/office inachukua tofali ngapi mkuu?
 
Halaal Co. Ltd,,,,ni neno la kiarabu maana yake ni HALALI yan Sikuibii cement,sikuuzii tofali zilizochakachuliwa,nakuuzia bidhaa bora kwa bei halali (VALUE FOR MONEY).....Tupo TEGETA kituo cha NYAISHOZI upande wa kushoto wa barabara kama unatoka MWENGE,.....Karibu sana mkuu.
Ahsante kwa taarifa mkuu. Jiandaeni kuwa mwenyeji wangu.
 
Ok.
Jee nyumba kubwa yenye 5bed rooms,loung,dining,kitchen,store,study/office inachukua tofali ngapi mkuu?

Karibu ofisin tuongee mkuu,swali lako wataalamu wa ukadiriaji watalifanyia kazi,KARIBU SANA.
 
Back
Top Bottom