Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,747
Wanajamvi salaam!
Tokea mwaka jana kumekuwapo na pesa kiasi cha shilingi 20000 huwa tunalipishwa kwa kila mwanafunzi inaitwa quality assuarance. Mwaka jana baada ya serikali ya wanafunzi kufuatilia tuliambiwa ni pesa ya TCU.
Naombeni kujua kama vyuo vingine vinalipa hii kitu au ni UDOM peke yake na je inawezekanaje TCU iendeshwe kwa pesa zetu ina maana wameshindwa kujiendesha kwa pesa za serikali?