Qualifications za kwenye social media

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,790
Profile za Facebook watu wote ni magraduate, wengine nilisoma nao tangu primary kitaa tunajuana vizuri tu. Tena wengi wanaweka UDSM, sasa hii ni kujifurahisha au inafaida nyingine jamani.
 
Sijui Ina maana gani. Wengine tupo nao huku Katavi hata hawajawahi kutoka eti unakuta anaandika from Arusha, living Lima, Peru. University Havard.
 
Back
Top Bottom