Qatar's 2022 World Cup Stadiums

Qatar's 2022 World Cup Stadiums

Ngoja nianze kujichangisha mda ukifika nikashuhudie "live".Asante[MENTION]faizafoxy[/MENTION]kwa kutufungua macho,

Miaka 4 iliyopita sikuiona hiyo michoro ya Brazil, isitoshe, nimevutiwa na hii ya Qatar kwa sababu maalum, yenye fundisho kwetu kwa wenye kuelewa.

Kwa kuongezea tu, tazama michoro imetoka sasa, world cup ya Qatar ni mwaka 2022, sasa wewe kwanini ufikirie kuwa michoro ya viwanja ya Brazili ilifanywa miaka 4 iiyopita? nadhani ilikuwa kabla sana ya hapo, pengine hata JF ilikuwa haijaanzishwa.

Huna lolote ni udini uliokuwa nao ndio umekufanya ulete huu uzi hapa

waislamu wengi hupenda kujinasababisha na waarabu,we nenda zanzibar kuna wadada hawana hata chembe ya uaharabu atakwambia bibi yake mwarabu kisa ana weupe kama wangu tu,wengejua walitakiwa kuwaangalia kwa jicho la pili kwa kuwafanya watumwa

Ewe punguani, kwanza rekebisha hapo nilipokuwekea nyekundu.

Hayo uliyoyaandika yana husiana nini na hii michoro ya viwanja vya world cup?

watu wajiandae kuchimbwa nnya huko Qatar maana si mnajua waarabu wanavyopenda MLANGO TAKA (DAWASCO=MAJI TAKA)

Mbona Kanisa na Wazungu ndo walikuwa wanunuzi wa hao watumwa ! Kamuulize Neymar na Willian na Ramirez walifikishwa na nani kule !

Kombe la Dunia linatoka kwa Waabudu sanamu (Wakatoliki) '14, baada kwa Wapagani 2018, then linaenda kwa 'Waungwana' 2022, wengi .............mmenuuuuna !

watu wajiandae kuchimbwa nnya huko Qatar maana si mnajua waarabu wanavyopenda MLANGO TAKA (DAWASCO=MAJI TAKA)

Wapenda 'mlango taka' ni hao wa Vatiicani ! Tena kuna kampeni kubwa ya Qatar kunyanganya kisa kukataa wale wote wallioharibiwa milango taka na Vatican kukanyaga huko !

Dini imeingiaje hapa.... The Color of Football hii jamani...

Da FaizaFoxy,

Salaam -

nisamehe huu ni mshawasha wangu tu, je kuna uhusiano wowote kati ya kuwa muislam na kupendezwa zaidi na maendeleo ya mataifa ya kiarabu kuliko ya pahala pengine? Nina maana kuwa sidhani kama miaka mi4 iliyopita ulituonesha michoro ya viwanja vya Brazil 2014.............

Asante.
Sidhani kama kwa kuhusisha kila kitu na udini itakusaidia chochote kwenye maisha yako maana dunia ya sasa kuna mix ya culture na races za kila aina na huwezi kuepuka, mtikila alikuja na kufukuza ma--------- ikashindikana, tukaanza kuwachukia wachina , na sasa tumeanza kuulizana kuhusu dini? Huu ni utumwa wa fikra na brain immaturity

hahaha!! Tanzanians tuna kazi kwelikweli!! kitu kidogo dini!! hivi mtaendelea kwa kujiita mimi Mkristu au mimi Muislam?! au ndo myaaiyumbukiza hii nchi kwenye migogoro ya kudini?!
mnataka yale ya al-shabab na bokoharam yaje bongo au?!
Sijajua elimu yenu (nyie mnaotukanana kuhusu dini!), hata kama unaPHD ila uwezo wako wa kufikiri ni chini ya nusery education level. badala ya kukaa chini na kujadili umaskini wa nchi yenu, nyie mnajadili mambo yanayoweza kuleta migogoro ya kidini! STUPID YOU!!
Msitake kusababisha watu kujuta kuzaliwa Watanzania!!
:angry::angry::angry:

Wanajisumbua tu,WC 22,Haitofanyika huko kwanza walihonga,na joto lile mpaka 50 nani atacheza football huko?

Miaka 4 iliyopita sikuiona hiyo michoro ya Brazil, isitoshe, nimevutiwa na hii ya Qatar kwa sababu maalum, yenye fundisho kwetu kwa wenye kuelewa.

Kwa kuongezea tu, tazama michoro imetoka sasa, world cup ya Qatar ni mwaka 2022, sasa wewe kwanini ufikirie kuwa michoro ya viwanja ya Brazili ilifanywa miaka 4 iiyopita? nadhani ilikuwa kabla sana ya hapo, pengine hata JF ilikuwa haijaanzishwa.
wameshapata kibali kuandaa kombe la dunia?maana kuna vipingamizi vilikwepo

wameshapata kibali kuandaa kombe la dunia?maana kuna vipingamizi vilikwepo
bado kibali hakijatolewa, ni mapema mno kusema ni wapi labda mtu kama FaizaFoxy ana habari za ndani, picha ni nzuri tuombe uzima tushuhudie world cup nyingine.

Last edited by a moderator:
Ewe punguani, kwanza rekebisha hapo nilipokuwekea nyekundu.

Hayo uliyoyaandika yana husiana nini na hii michoro ya viwanja vya world cup?
we mwehu tu,uharobu umewashika akili

Ukweli ni kwamba waingereza wslianzisha kampeni ya kumchafua blatter na kutumia makundi mbali mbali kuonyesha mapungufu ya qatar lakini yamegonga mwamba na fifa imesema ratiba ya world cup qatar itaendelea kama kawaida

Acha ifanyike huko huko ili Waingereza wakaongeze idadi ya bar na cassino bila kusahau mkuu wa meza wa kwenye kopo.
Najua wanajua lazima idadi ya bar na cassino iwe kubwa.

bado kibali hakijatolewa, ni mapema mno kusema ni wapi labda mtu kama FaizaFoxy ana habari za ndani, picha ni nzuri tuombe uzima tushuhudie world cup nyingine.

© Getty Images
It has been announced that Qatar will host the 2022 FIFA World Cup, after the FIFA Executive Committee voted in a secret ballot on 2 December 2010 in Zurich.
Five candidates presented their bids to stage the 2022 edition of the world's greatest sporting event.

As well as eventual winners Qatar - Australia, Korea Republic, Japan and USA also submitted bids for the highly-prized hosting rights. USA, Japan and Korea had all previously staged the FIFA World Cup finals, with Japan and Korea becoming the tournament's first joint hosts back in 2002. The 1994 finals took place in the USA.

The World Cup is going to new lands and I am a happy President as we speak of the development of football.FIFA President Joseph S. Blatter
"I would like to congratulate Qatar and to also thank the other candidates for their efforts," said FIFA President Joseph S. Blatter. "The World Cup is going to new lands and I am a happy President as we speak of the development of football."

Chairman of the Qatar bid, Sheikh Mohammed bin Hamad Al-Thani was near tears after the announcement. "Thank you for believing in change and believing in expanding the game and thank you for giving Qatar a chance," he said. "We will not let you down. We will make you proud."

Following the next FIFA World Cup in Brazil in 2014, and the 2018 edition in Russia, who were also awarded the hosting rights on Thursday, the finals will for the first time be staged by Qatar in 2022.

Source: 2022 FIFA World Cup awarded to Qatar - FIFA.com

Back
Top Bottom