Superbrand
JF-Expert Member
- Apr 6, 2013
- 509
- 158
One Day na Tanzania tutafika huku kuandaa haya mashindano na tutatengeneza viwanja zaidi ya hivyo.
Yes,sure,2098
One Day na Tanzania tutafika huku kuandaa haya mashindano na tutatengeneza viwanja zaidi ya hivyo.
Wanajisumbua tu,WC 22,Haitofanyika huko kwanza walihonga,na joto lile mpaka 50 nani atacheza football huko?
Allah tawfiqueHao waliyowapa wanayajua yote hayo na walishafanya research ndio wakawapa qatar, siyo kama wewe unakurupuka tu na kuja kubwabaja hapa kwenye forum embu kakojoe ukalale
Kuna mwingine hapo juu umefanana na kiungo kimoja katka mwili wa mwanamke.!!
One Day na Tanzania tutafika huku kuandaa haya mashindano na tutatengeneza viwanja zaidi ya hivyo.
Da FaizaFoxy,
Salaam -
nisamehe huu ni mshawasha wangu tu, je kuna uhusiano wowote kati ya kuwa muislam na kupendezwa zaidi na maendeleo ya mataifa ya kiarabu kuliko ya pahala pengine? Nina maana kuwa sidhani kama miaka mi4 iliyopita ulituonesha michoro ya viwanja vya Brazil 2014.............
Asante.