Qatar, Nyalandu, TTB na Balozi Maharage UAE

Qatar.jpg
from today onwards
 
Safi sana, this was expected soonest. Kwahiyo KIA sasa kuna flights 5 za uhakika
1. KLM
2. Qatar
3. Ethiopian airlines
4. South African airways
5. Precision air
6. ATCL, ngoja tuweke na hii ya kwetu though inasuasua

Mkuu KIA hakuna south African Airways bali ipo Kenya Airways, Usisahau wajerumani wa Condor Air
 
Basi hii habari ilikuwa ina mislead, though it is recent

"Very soon Qatar Air will have direct flights from Doha to Kilimanjaro which will complement the daily flights made by KLM, Ethiopia Airlines, Precision Air and South African Airways. We intend to attract more airlines," said Mr Nyalandu.
Source:KIA to have greater air travel traffick - In2EastAfrica - East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education
 
Shinyanga itatua lini wakuu? Naona kanda ya ziwa tusahau mpaka tutakapopata kichwa chenye akili ya kuvutia wawekezaji wa kutosha mikoa yetu!! Mwanza mwaka jana mtoto wa mkulima alishindwa kupaa kutokana na maji kujaa uwanjani, viwanja vingine vimejaa vumbi na kila aina ya hatari Lol kweli amamu ya 4 wameamua kututenga na kutufanya vitega uchumi tu!! Vyuo vikuu hakuna, barabara ndo usiseme, bei ya pamba imeshushwa kwa 50% ya bei mwaka jana, madini ndiyo hayo tena, shule za maana (sekondari na A level) ni full magumashi. Bora tuanze harakati za kujitenga!!
 
Basi hii habari ilikuwa ina mislead, though it is recent

“Very soon Qatar Air will have direct flights from Doha to Kilimanjaro which will complement the daily flights made by KLM, Ethiopia Airlines, Precision Air and South African Airways. We intend to attract more airlines,” said Mr Nyalandu.
Source:KIA to have greater air travel traffick - In2EastAfrica - East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education

Mkuu siyo kila kinachoandikwa au zungumza ni ukweli, Hata sasa ukipita pale KIA uliza kama Kuna ndege ya South Africa ya Abiria inatua, Utapewa jibu ambalo si tofauti na nililokuambia........
 
Mkuu KIA hakuna south African Airways bali ipo Kenya Airways, Usisahau wajerumani wa Condor Air

Mkuu hao kwenye nyekundu huwa wanafanya safari za KIA wakati wa summer tu. Kipindi kingine hawapo
 
Safi sana, this was expected soonest. Kwahiyo KIA sasa kuna flights 5 za uhakika
1. KLM
2. Qatar
3. Ethiopian airlines
4. South African airways
5. Precision air
6. ATCL, ngoja tuweke na hii ya kwetu though inasuasua
7. Kenya airways
 
Hivi Twiga wetu watakuwa salama huko pamoja na rasilimali zetu?
 
Tehetehetehetehetehetehetehetehe! usihofu mkuu ndege za abiria hazibebi Twiga wazima ni za jeshi tu ndo hutumika kwa biashara hiyo haramu.
 
Shinyanga itatua lini wakuu? Naona kanda ya ziwa tusahau mpaka tutakapopata kichwa chenye akili ya kuvutia wawekezaji wa kutosha mikoa yetu!! Mwanza mwaka jana mtoto wa mkulima alishindwa kupaa kutokana na maji kujaa uwanjani, viwanja vingine vimejaa vumbi na kila aina ya hatari Lol kweli amamu ya 4 wameamua kututenga na kutufanya vitega uchumi tu!! Vyuo vikuu hakuna, barabara ndo usiseme, bei ya pamba imeshushwa kwa 50% ya bei mwaka jana, madini ndiyo hayo tena, shule za maana (sekondari na A level) ni full magumashi. Bora tuanze harakati za kujitenga!!

Huko Shinyanga tunafuata gold, diamond na vingine kwa helicopter, nyie endeleeni kufuga ng'ombe!
 
A town run way imeongezwa sijui sasa Kama ndege kubwa zitatua
 
Back
Top Bottom