Don Draper
Senior Member
- May 30, 2012
- 176
- 87
- Thread starter
- #21
wajinga ndio waliwao
Kwa taarifa zenye uhakika nilizozipata hivi punde!
Qatar Airways kwa mara ya kwanza imetua katika uwanja wa Kimataifa wa KIA. Wadau na wafanya biashara wanaoelekea katika nchi za uarabuni wakitokea Arusha na Kilimanjaro wataweza kupata usafiri wa moja kwa moja kutokea KIA kuelekea nchi za Arabuni
Ni moja ya maendeleo maana kabla ya hapo ilikuwa inatua nairobi and then Dar es Salaam!
Hongereni wana KIA
AMEN............
kaskazini hoyee
Changamoto kwa local airlines kama precision
Huku Mtwara lini wataanza kutua?
Hahahaha nilifikiri ungeuliza uwanja wa Songwe (sijui kama nimepatia jina) wa Mbeya ambao ndege ya Mkuu wa kaya ulitua juzi juzi ili kuziba midomo ya wajuvi wa mambo bungeni..
Mkuu nimewapenda sana Qatar Airways, Maana wamekuwa wepesi kusoma upepo na alama za nyakati
Nakumbuka wakongwe ni Air Emirates lakini hawa jamaa wa Qatar wanaelekea kuwapiku......
Ila tuangalie sana Maana nasikia Mkenya ndiye Branch Manager wa pale KIA na ukizingatia imevunja safari zake za nairobi , Asije akaleta madudu tukawakosa tena.........................
Nyie wa kaskazini mnatutenga sana watu wa kusini maendeleo mnajipelekea kaskazini
Kwa kukusahihisha kidogo, qatar hajavunja safari ya Nairobi napo ana 2 flight daily from nairobi to doha and then connected you to the world, ameongeza trip from Kia as amegundua kuna chance ya customers watu wanasafir safir sana na watalii wanakuja huko so itakuwa rahis kupata customers from Kia to doha and then connected them to its 115 destinations worldwide,
Jamaa wanajua biashara maana hiyo new doha international airport for connection sio mchezo, na biashara ya ndege ndo mojawapo ya nguzo za uchumi wao ukitoa mafuta so lazima wapeleke flight kila wanapohis kuna customers
Mkuu kuna tetesi kuwa biashara ya Nairobi itaharika kutokana na political instability kuelekea uchaguzi ndo maana wameanziasha trip ya kia....
Kwa taarifa zenye uhakika nilizozipata hivi punde!
Qatar Airways kwa mara ya kwanza imetua katika uwanja wa Kimataifa wa KIA. Wadau na wafanya biashara wanaoelekea katika nchi za uarabuni wakitokea Arusha na Kilimanjaro wataweza kupata usafiri wa moja kwa moja kutokea KIA kuelekea nchi za Arabuni
Ni moja ya maendeleo maana kabla ya hapo ilikuwa inatua nairobi and then Dar es Salaam!
Hongereni wana KIA
AMEN............
Eti wanaogopa mende!Huku Mtwara lini wataanza kutua?
teh teh teh, mpaka airfield iwe clered dhidi ya mende wote waliopo.Huku Mtwara lini wataanza kutua?