Don Draper
Senior Member
- May 30, 2012
- 176
- 87
Mkuu huu ni upuuzi kabisa. Kenya waliachwa miaka mingi kuinadi Kilimanjaro huku viongozi wetu wakiangalia bila kuchukuwa hatua madhubuti.
Sijui kazi ya hawa wenzetu wa TTB na mabalozi wetu katika hii nchi.
Mimi ni mdau wa utalii hebu tusaidiane kupata barua pepe ya Qatar airways tuwaandikie warekebishe hiyo program yao.
Yuko mtu najuwa anafanya kazi Qatar Airways Dar, ninampandia hewani sasa hivi
Mkuu umenishtua sana kusema Air Tanzania!! hilo shirika lilishakufa siku nyingi, Dr Mwakyembe anachofanya nikumalizia kuzika tu!!jamani Air tanzania mko wapi kampuni yetu ya ndege ya taifa!
Sasa naanza kamgomo baridi kakutopanda Qatar Airways! hadi hapo baadae! LolKwa sasa Kenya wanauza mlima Kilimanjaro (seen from Amboseli National Park) zaidi ya Tanzania (alocated) Hii ni aibu tosha.....
Tatizo la Tanzania tourism marketing hakuna cohesive country plan. Two all ministers saves they own interest in this ministry eg zara tours by zakia. Stake holders is interest which overide national interest. Shortage of marketing skills which mafasidi such Riz1 and his merrymen exploit to still our money. Finally nobody care as long marking they own money
So literally, to promote their latest destination in Tanzania (KIA), Qatar Airways have also launched a special 6-day holiday treat in Tanzania. Ironically, this treat is marketed online as a 'Kenyan Safari'. Ndugu zangu wadanganyika, is it really this bad? Kilimanjaro iko wapi kwanza? Maana mimi mwenyewe naanza kuwa na wasiwasi mafisadi waliipiga bei long tym..
Lakini naamini kuwa blozi Maharage pale UAE, bodi ya utalii Tanzania (TTB) watakuwa kimya sana juu ya hili
lakini badaya ya kuwasubiri akina TTB na hao wengine nashauri pigeni simu ofisi za Qatar mlalamike juu ya hili tangazo:
Contact Address and Agent Office Center
Qatar Airways City Office - Dar es salaam, Tanzania
Elia Complex, Ground Floor,
Junction of Zanaki and Bibititi Road,
Dar es salaam, Tanzania, Tanzania
Telephone:+ 255 22 2198300
Fax:+255 22 2127400
Naendelea kutafuta namba ya simu ya area manager wa Qatar Tanzania

jamani Air tanzania mko wapi kampuni yetu ya ndege ya taifa!
Tatizo siyo kutua KIA ila ni tangazo la safari in kenya lkn destination ni Tz. Ningetegemea watu wa utalii wangekuwa wamesema kitu au hawapo humu???