Qatar air

Qatar air

Ile Airbus A380-800 hapana chezea bana. First class ipo juu ghorofani kule.

We Nyani Ngabu unataka kutwambia indirect kuwa Ulishawahi kupanda FIRST CLASS NDANI YA QATAR AIR??
teh teh teh teh! Aiseee nimecheka sana hapo! Duhhh!
 
Last edited by a moderator:
aaah,,,,,u mean zinazokuja huku ni mangarangara???

Mkuu hiyo ndege ni likipande la ndege........labda......wawe wameanza kuzileta juzi juzi......hebu kwanza tugoogle tuone.....je......airbus zinatua Tanzania.......?
 
sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........

Si airbus peke yake, hata Boeing 777 walianza siku nyingi kuweka screen nyuma ya kila kiti. British Airways walikuwa wanaleta 777 Dar kwenye miaka ya mwanzoni 2000 na KLM wanatumia 777 mpaka sasa pia wana screen kila kiti.
 
sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........

Dada sio kweli unachoongea hapa.
All Emirates flights from DBX-DAR-DBX kila seat ina screen yake na haijaanza leo wala jana.
Hata klm na Qatar flights zote zinazokuja Dar kila seat ina screen yake
KLM wanaleta 777, Emirates wanaleata Dar Airbus 340 na sio Boeing za kawaida kama unavyodai na hawajaanza leo wala jana
 
Mkuu hiyo ndege ni likipande la ndege........labda......wawe wameanza kuzileta juzi juzi......hebu kwanza tugoogle tuone.....je......airbus zinatua Tanzania.......?
Qatar Airways operates four flights a week non-stop between Doha International Airport in the capital of the State of Qatar, and Mwalimu Julius Kambarage Nyerere International Airport in Dar es Salaam. The route is operated with an Airbus A319 in a two-class configuration of eight seats in Business and 102 in Economy.
[h=2]For further information[/h]Qatar Airways Corporate Communications
Tel: +974 4496956, Fax: +974 4620132
E-mail: qrmedia@qatarairways.com.qa
 
Sio samaki tu, si umesikia kuna viongozi wanapakia mpaka mkaa kwenye ndege!

umenichekesha na kupakia mkaa, maajabu ayo yametokea zbar, nasikia uyo ni maalim seif alikua akitokea kwao pemba mtaa wa nkanyageni uko alipewa zawadi ya mkaa ah bila kusita akaweka kwenye buti la ndege kwa ajili ya kupikia mashelisheli nyumbani kwake mchamba wima, ah wazenj kiboko
 
Emirates na Turkish airline kila kitu

EmiratesA380Economy_gallery__600x392.jpg



Emirates-new-inflight-entertainment-screens.jpeg


Emirates_Airlines_Economy_Class20.jpg


WAHUDUMU HAWANA NYODO
 
Qatar Airways operates four flights a week non-stop between Doha International Airport in the capital of the State of Qatar, and Mwalimu Julius Kambarage Nyerere International Airport in Dar es Salaam. The route is operated with an Airbus A319 in a two-class configuration of eight seats in Business and 102 in Economy.
[h=2]For further information[/h]Qatar Airways Corporate Communications
Tel: +974 4496956, Fax: +974 4620132
E-mail: qrmedia@qatarairways.com.qa


aya yameisha jaman, mie nimezoea coster kwaajili ya kwenda kwetu kisiju, aya bhana
 
Turkish
wow hujutii
2Q==




qatar-airways-inside-airbus-a330.jpg






6890067875_d35d1b9b5f_z.jpg





Qatar na egypt airlines mpaka wanafungua zipu za begi waibe.emirates na turkish za ukweli
 
Hii ndege ni nzuri jmn khaaa hasa ile first class..inauma lakini unakuta unaipita, unakuja busness unapita mpk uje economy loh. Hii prog yao ya kuona ulipo, ETA, distance to destntn aaagh nimeipenda kwa kweliImageUploadedByJamiiForums1381096708.541582.jpg
 
yah....airbus.....na ni kutoka Doha kwenda sehemu zingine za dunia.....hii haiji huku uswazi...........

huku hakuna abiria wakutosha au sababu ya kauwanja kenyewe...?
 
sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........

Hata inayotoka Dar es salaam mpaka doha, ina screen kila seat, japokuwa sio kubwa sana hiyo ndege kama hiyo pichani but ni nzuri mpyaaa,, humo kwenye screen kuna movies humo, music na entertainment zingine kibao hiyo system inaitwa Oryx entertainment kama sijakosea herufi..

I travel with Qatar early this year niliienjoy kwa kweli japokuwa hawajafika level za Turkish Airline inayokuja bongo
 
Hayo makaa wanapeleka wapi yarabi toba?
mimi49 ... Jibu lipo katika posti ya huyu mdau KASHOROBANA hapa chini
umenichekesha na kupakia mkaa, maajabu ayo yametokea zbar, nasikia uyo ni maalim seif alikua akitokea kwao pemba mtaa wa nkanyageni uko alipewa zawadi ya mkaa ah bila kusita akaweka kwenye buti la ndege kwa ajili ya kupikia mashelisheli nyumbani kwake mchamba wima, ah wazenj kiboko
 
Last edited by a moderator:
dada sio kweli unachoongea hapa.
All emirates flights from dbx-dar-dbx kila seat ina screen yake na haijaanza leo wala jana.
Hata klm na qatar flights zote zinazokuja dar kila seat ina screen yake
klm wanaleta 777, emirates wanaleata dar airbus 340 na sio boeing za kawaida kama unavyodai na hawajaanza leo wala jana
watu wamezoea zile fast jet aka voda fasta unaangalia saa tu yakuland
 
Back
Top Bottom