Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Kumbe ndo maana tindikali inauzwa. Usipo tuliza hicho kikojoleo chako itakuhusu. Mia
Mkuu haya bana!
Ila kuanzia leo nimejua niko vitani!
Kumbe ndo maana tindikali inauzwa. Usipo tuliza hicho kikojoleo chako itakuhusu. Mia
Upo tayari tubishane kwa faida ndugu? Nairobi hatukubadilisha ndege.Ilitua ikapakia ikapaa mpaka Doha.
Au nishushe dau?
Na ukweli huku ni uswazi, maana zile Qatar Airways za Dar-Nairobi-Doha hata fastjet inazipiga bao labda vile viscreen vya kwenye viti tu ndiyo cha kujidaia.
Kaka nahisi unadanganya uma, sijawai ona wala kusikia hiyo,, yaani Qatar ifanye trip dar to nairobi napo ijazie abiria then doha.. Mhhhh?
Nimesafiri na Qatar mara nyingi sana sababu ni among cheap airline kwa safari za Asia from Tz, nauli zake zipo chini compared to emirates..
Wa dar qatar anaondoka saa 7 mchana kuelekea doha, na nyingine inaondoka saa 12 jioni from dar to doha direct..
Na zinakuja mbili pia kila siku moja inaingia saa 1 asubuhi.. Na nyingine inaingia saa 7 mchana zote direct from doha to dar..
Na hiyo inayokuja saa 1 asubuhi ndio inageuza saa 7 mchana kurudi doha, na hiyo inayokuja saa 7 mchana ndio inayogeuza saa 12 jioni kurudi doha
Kwa Nairobi nahisi unadanganya maana Nairobi napo wanapeleka ndege kila siku direct from doha na kurudi doha direct
Mkuu acha uongo hakuna Qatar ya dar-Nairobi-doha..
Na pia Qatar inayokuja Dar izidiwe na Fast jet.. Acha masikhara kaka
Qatar inayokuja Dar ni 5 star airline japokuwa haina seat line 3 lakini ni ndege ya nguvu hata KLM inayokuja Dar haingii ( nimeshasafiri na zote naujua ukweli kuanzia Qatar, KLM, Fastjet)
Kwanza hiyo qatar ya dar-nairobi-doha umeiona wapi, imekuwa dala dala hilo?
Qatar analeta ndege nzuri size yake kwa ukubwa inafanana kila kitu na turkish airline inayokuja dar.. ( Tofauti yake Turkish anatisha kwenye service za cabin crew kila baada ya muda kidogo muhudumu anakushika bega msosi..)