sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........
ndenjela yanitosha
Preta? Juzi nimeipanda Boeing 777-37 ER toka Doha mpaka hapa inavyo hivyo visikirini bana........ila kuna mzee nilimuona anaiba airphones nikajisikia aibu sana
![]()
waoooh........natamani nipande hii aisee...
waoooh........natamani nipande hii aisee...
W/end ijayo twende South Carlolina tukale bata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
W/end ijayo twende South Carlolina tukale bata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
sijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........
hahaaa ntafurahi sana.........nimekumiss ujue......
Usimdanganye mtoto wa watu.... we si umesema kesho unaenda Tarakea !!??? sasa Carlolina lini tena.
Aione figganigga. mia
Zinawekwa screen zote bana! Nakumbuka nilikuwa naangalia zaidi radar wakati abiria wengine wanaangalia movies. Hata zinazotua bongo zina screen kwenye kila kiti, na ushahidi ni kuwa earphones zake niliteremka nazo njesijawahi kuiona....ninazoonaga ni boeing za kawaida tu.....ambazo mnashare screen.......sio kila kiti na screen yake........
Zinawekwa screen zote bana! Nakumbuka nilikuwa naangalia zaidi radar wakati abiria wengine wanaangalia movies. Hata zinazotua bongo zina screen kwenye kila kiti, na ushahidi ni kuwa earphones zake niliteremka nazo nje
Sidhani kama wanazuia kuchukua earphones, zikishatumiwa na mtu mmoja zinakuwa damped. Mimi mwenyewe huwa nazibeba. Uchafu wa masikioni ni kikwazo kuzifanya ziwe za users wengi, ndio maana kila ukiingia unafungua mpya kwenye karatasi...ila kuna mzee nilimuona anaiba airphones nikajisikia aibu sana
Ha ha haa! Kuna jamaa yangu aliteremka na blanket la QA !!!Nilikuona.........:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39: