ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,373
- 4,141
Hakuna Qatar ya Dar to Nairobi....Qatar inakuja Doha to Dar to Doha mara mbili kwa siku na ni kila siku...wanaleta A319/320/321....
Acha kukariri wewe, labda useme kwasasa imefutwa. Mwaka juzi nimepanda mara mbili Qatar Airways ya asubuhi kwa nyakati tofauti na ilikuwa inatua Nairobi kabla ya kwenda Doha. Kama unabisha waulize wahusika wa hiyo ndege wakufahamishe.