figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Msanii wa bongo fleva aliye kuwa anajiita q chief, sasa hivi anajiita CHICHI. Hii a.k.a yake mpya ya chichi imeleta gumzo kitaa baada ya kuonekana hilo jina la chichi linatumika kuwatambulisha mashoga. Bado hajapatika kuelezea kwanini kaamua kujiita chichi. mia
Sidhani kama CHICHI ni neno/jina linalotambulika kwa mashoga. Unaweza kuwa na source mkuu?
Mkuu hayo ni maneno ya mjini. mtu akikuambia leo nmekutana na chichi la nguvu au mchichi jua kakutana na shoga. hata wanaume wanao jiuza hawasemi kama wao ni mashoga bali wanasema "mimi ni chichi vipi nije tukae wote?" kama muelewa ushajua anamanisha nini lakini akikuona hujui anakula kona. kuna wimbo ambao huyo savimbi katoa wa kiganda na kinyarwanda amejitaja as chichi-man. mia
Si alihamia mombasa, ukute washamhemea! Kichogo kinafukuta tu kwa sasa!
Si alihamia mombasa, ukute washamhemea! Kichogo kinafukuta tu kwa sasa!
Si alihamia mombasa, ukute washamhemea! Kichogo kinafukuta tu kwa sasa!
hahahahaaaa....!!!. Mkuu kumbe na wewe antimo unamfahamu!!. miaAnti mo na Da chichi,wale mashoga mbona kitaambo
haya ute wa yai
Daaa hili jina bhanaaaa!