Mr Ambassador Member Sep 3, 2012 13 2 Sep 27, 2012 #22 Lakini chichi ni jina la kawaida kwetu kuna jamaa mmoja tumekuwa nae anaitwa chichi.
Muuza Sura JF-Expert Member Aug 1, 2011 1,985 1,345 Sep 30, 2012 #23 Chief kiumbe anaharibu sana vijana!!!shetta akimaliza kichupa kipya naye ajitaftie jina la kike!
matumbo JF-Expert Member Jul 9, 2011 7,225 3,944 Oct 5, 2012 #24 naskia umeolewa mombassa QChilla.....!!!??-Maalim Nash