Chumba cha Umbea: Wasanii na Mihadarati

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Leo nikiwaa home madogo wanaangalia Television nikapitisha macho.

Nikakutana na wanahabari wa Kipindi cha Chumba cha Umbea (ICU) kinachorushwa na Channel ya Magic Bongo QWISA, JUMA LEKOLE NA M.JESSIE.

Nilikuwa muda mwingi nasikia wanamhoji mtu ambae katika masikio yangu nilihisi ni mtu ambaye aliwahi kuwa mtumiaji wa dawa za kulevya (Teja au Mteja)

Laulah!! nakujaa Kustuka anayehojiwaa ni Icon wa zamani wa Bongo Fleva, Msanii mwenye Sauti iliyojaa ubunifu. JOSLINE msanii wa Kundi la "Wakali Kwanza" Roho imeniumaa sana. Kumbe ukimya wa Msanii huyu ni Uteja mihadarati.

Swali langu likawa kwanini wasanii wetu wa zamani; marehem Ngwea, Daz Baba, Ferooz, Chid Benz, Rayc, Lord Eyez, TID, Dogo Mfaume, 20 Percent, Q Chief, Dulayo, Wasanii wengi wa makundi ya Walume Ndago, Kwanza Unit, TMK WANAUME, watu Poli a.k.a Washamba, Daz Nundaz, LWP, list ni ndefu mno kuimaliza wanakubwa na kitu gani mpaka wanajikuta katika maisha ya Utata kiasi hiki?

Mbona walikuwa wanapiga Show na wanajaza Nyomi na Viingilio tulikuwa tunalipa nini kimewakwamisha.

Swali lililonifikirisha sana ni kwamba awa wote awakuingiaa katika ulevi hii siku moja mbona kama kulikuwa na "ROOM" wengine kujifunza?

Naomba kuwasilisha.
 
Lifestyle wengi walikuwa wanaishi maisha ya kwenye movie na lifestyle sawa na yale wanayoyaona kwenye movie za mbele hasa za black americans.

Wasanii wa zamani si kwamba walikuwa hawapati pesa, ila walikuwa na matumizi na wanaishi bila mipango halafu wakiisha kimuziki wanajawa na stress wengine wanageukia madawa wengine ili kuendelez lifestyle lao wanakuwa punda.

Ni wachache ambao waliwekeza walau hata jmoe alijenga nyumba akawa baba mwenye nyumba wa irene uwoya.

Kupanga ni kuchagua
 
Hata wasanii wakubwa duniani madawa yanawatesa sana. Maisha ya fame ni magumu, ratiba ngumu, una watu wengi wa kuwalipa unafanya kazi nyingi unapata kidogo so lazima upige kazi bila kulala, ukipata muda wa kupumzika unajikuta hauna usingizi unalazimika kuanza kutumia madawa upate usingizi.

Michael Jackson alikuwa ana madeni mengi sana sababu mwishoni hakuwa anafanya kazi sababu ya madawa na akawa analipa wafanyakazi wengi sana plus Kodi za properties zake nk. Hii ilikuwa inamstress sana plus maisha ya upweke. Unaishi kwa flashlight life through media and all that ukiingia ndani unakuwa mpweke then sonona inakufanya vibaya.

Very few wameweza kupambana na maisha hayo kwa kuwa na real life like having a normal woman whom you make your wife na anaishi kawaida like Snoop Dogg na wengine walivyoamua kuraise family kikawaida inakuoa sense of being alive.
 
Nilichokuja kugundua, wasanii wengi wanavurugwa na mazingira.

Unakuta msanii show kibao, ndani na nje ya nchi, jina kubwa, social media platforms zinamtambua kwamba ni mkubwa ila in reality yeye anajiona hana kitu kabisa. Na ni kweli, unakuta msanii ana miaka kumi kwenye game, amepanga tabata au sinza, kodi inasua sua, gari lenyewe either kaazimwa au hana kabisa. Ila huku wanatambia jina lake. Ela zinaishia kwenye management au kwa promoters. Ndo mtu anaishia kuchanganyikiwa haswa mashabiki wakianza zile kejeli za flani na ela zote zile hana hata gari la maana. So mtu ili kupunguza depression anaanza kutumia madawa.

Sababu ni nyingi ila nimechagua kuelezea hii.
 
Hata wasanii wakubwa duniani madawa yanawatesa sana. Maisha ya fame ni magumu, ratiba ngumu, una watu wengi wa kuwalipa unafanya kazi nyingi unapata kidogo so lazima upige kazi bila kulala, ukipata muda wa kupumzika unajikuta hauna usingizi unalazimika kuanza kutumia madawa upate usingizi.

Michael Jackson alikuwa ana madeni mengi sana sababu mwishoni hakuwa anafanya kazi sababu ya madawa na akawa analipa wafanyakazi wengi sana plus Kodi za properties zake nk. Hii ilikuwa inamstress sana plus maisha ya upweke. Unaishi kwa flashlight life through media and all that ukiingia ndani unakuwa mpweke then sonona inakufanya vibaya.

Very few wameweza kupambana na maisha hayo kwa kuwa na real life like having a normal woman whom you make your wife na anaishi kawaida like Snoop Dogg na wengine walivyoamua kuraise family kikawaida inakuoa sense of being alive.
You nailed it all
 
Leo nikiwaa home madogo wanaangalia Television nikapitisha macho.

Nikakutana na wanahabari wa Kipindi cha Chumba cha Umbea (ICU) kinachorushwa na Channel ya Magic Bongo QWISA, JUMA LEKOLE NA M.JESSIE.

Nilikuwa muda mwingi nasikia wanamhoji mtu ambae katika masikio yangu nilihisi ni mtu ambaye aliwahi kuwa mtumiaji wa dawa za kulevya (Teja au Mteja)

Laulah!! nakujaa Kustuka anayehojiwaa ni Icon wa zamani wa Bongo Fleva, Msanii mwenye Sauti iliyojaa ubunifu. JOSLINE msanii wa Kundi la "Wakali Kwanza" Roho imeniumaa sana. Kumbe ukimya wa Msanii huyu ni Uteja mihadarati.

Swali langu likawa kwanini wasanii wetu wa zamani; marehem Ngwea, Daz Baba, Ferooz, Chid Benz, Rayc, Lord Eyez, TID, Dogo Mfaume, 20 Percent, Q Chief, Dulayo, Wasanii wengi wa makundi ya Walume Ndago, Kwanza Unit, TMK WANAUME, watu Poli a.k.a Washamba, Daz Nundaz, LWP, list ni ndefu mno kuimaliza wanakubwa na kitu gani mpaka wanajikuta katika maisha ya Utata kiasi hiki?

Mbona walikuwa wanapiga Show na wanajaza Nyomi na Viingilio tulikuwa tunalipa nini kimewakwamisha.

Swali lililonifikirisha sana ni kwamba awa wote awakuingiaa katika ulevi hii siku moja mbona kama kulikuwa na "ROOM" wengine kujifunza?

Naomba kuwasilisha.
Wasanii na mihadarati
Credits ziende mawingu flani hivi.

Tumepoteza vijana wengi sana
 
Hata wasanii wakubwa duniani madawa yanawatesa sana. Maisha ya fame ni magumu, ratiba ngumu, una watu wengi wa kuwalipa unafanya kazi nyingi unapata kidogo so lazima upige kazi bila kulala, ukipata muda wa kupumzika unajikuta hauna usingizi unalazimika kuanza kutumia madawa upate usingizi.

Michael Jackson alikuwa ana madeni mengi sana sababu mwishoni hakuwa anafanya kazi sababu ya madawa na akawa analipa wafanyakazi wengi sana plus Kodi za properties zake nk. Hii ilikuwa inamstress sana plus maisha ya upweke. Unaishi kwa flashlight life through media and all that ukiingia ndani unakuwa mpweke then sonona inakufanya vibaya.

Very few wameweza kupambana na maisha hayo kwa kuwa na real life like having a normal woman whom you make your wife na anaishi kawaida like Snoop Dogg na wengine walivyoamua kuraise family kikawaida inakuoa sense of being alive.
Fame and Celebrity Worship is a malignant and satanic cult. First off, men should never ever be glorified and deified to god-like frame. We are inherently not built for that, men can't simply be worshipped

What's happening within entertainment industry is a grotesque perversion of natural law. That's why when fame kicks in, the proceeds are always Pride, Insecurity and Insanity.

Uchina wamenifurahisha sana kwasababu hili waliliona mapema na kulishughulikia. Kule ni marufuku hata kushabikia wasanii mitandaoni bila sababu za msingi. Ukikamatwa utashughuliwa hadi hutaamini.

Hili limewasaidia wasanii na jamii nzima, maana sehemu nyingine kama Marekani wasanii wametumiwa mno kuharibu maadili ya jamii nzima. Vijana wanawaiga tu, hata pale wanapofanya upumbavu. Sasa ukitaka kusaidia jamii, wewe shughulikia hawa watu mashughuli.

Xi Jinpin alivyongia tu, alianza kushughulika na wasanii wanaotumia madawa ya kulevya. Bahati mbaya, kwenye hili hadi kijana wa Mzee wetu mpendwa Jackie Chan yalimkuta. Juzi tena kuna kakijana kaigizaji kalifanya mambo ya ngono, wamekasweka jela miaka kibao tu.

Tusipochukua hatua za ziada dhidi ya uliberali tutapoteza vijana wetu wengi mno wenye vipaji vikubwa kama hivi, ambao binafsi naamini ni nguvu-kazi muhimu ya taifa. Hebu fikiria mzazi wa Josylin anajisikiaje saa hizi. Inaumiza sana....
 
Wale maisha ganii we Jamaa, ungeona nlichoona usingewezA hata kuongea haya, leoo Josline ni wa kumsujudu maimatha..?? JOSLINE huyu huyuu
JOSLINE-wanazimika na yangu perfume,niite basi mpenzi ,mshikaji mmoja hvii. kifupi wana sonona baada ya muziki kuyumba. hata QJ kuna info kuwa alidata then akaja kuokoka
 
Back
Top Bottom