Pythagoras Vs Einstein

Pythagoras Vs Einstein

SI units ni herufi ambazo zimetengwa na ulimwengu wa sayansi (dunia nzima)I kuwakilisha quantities fulani fulani zinazotumika kwenye fizikia na discipline zingine za sayansi, kiasi kwamba ukishaandika herufi hiyo kwa kifupi chake, huhitaji kusema kuwa umeandika nini. Popote pale andiko hilo litakapokuwepo duniani, wanasayansi wote watajua kuwa ulimaanisha nini. Kwa mfano, ukiandika herufi zifauatazo bila kutoa maelezo mengine ya ziada, zitamaanisha kama ifuatavyo

"s" kiwa imeandikwa mahali fulani bila maelezo mengine yoyote ya nyongeza inamaanisha second, the SI unit of time

"m"
kiwa imeandikwa mahali fulani bila maelezo mengine yoyote ya nyongeza inamaanisha meter the SI unit of distance

Vilevile "g" inamaanisha gram

Kwa hiyo ukitumia "c" kwenye equation yoyote na pasipo maelezo yoyote, utakuwa unamanisha kasi ya mwanga

Still, pamoja na kuwa hizi symbols ni international, bado zinaweza kutumika katika matumizi mengine yasiyomaanisha SI units ila kwa mtindo tu kama ufuatao hapa chini. Kwa mfano
........................................................
where;
m= moisture content of soil
c= concentration in milligrammes per litre; mg/l
s= s
ulphate concentration in the solution

Hata hivyo huwezi ukafanya the reverse kwenye SI units kwa kuzi-define otherwise kama vile kuzibadilisha na kuzipa symbols zingine unazozitaka wewe, tuseme kwa mfano
....................................................
where;
h= time in seconds
k= mass in grams, kilogrammes
b= speed of light in meters per second

Hiki cha pili huwezi ukafanya kwa sababu symbols zake tayari zipo na zinajulikana dunia nzima kwenye ulimwengu wa Sayansi.
Bado tunarudi palepale hujui tofauti ya constant na SI unit na hilo ndo tatizo lako.
Lakini Kama umekaza shingo ili usielewe maksudi Mimi ni nani hata nikupinge?
 
Sijui utaki tu kuelewa au vipi? Unajua tofauti ya constant na SI unit? Hivi unajua kuwa Kuna constants zenye SI units na zisizo na SI unit?
Unapoambiwa umekosea tafakari vizuri uelewe.
Duniani Kuna basic SI units saba(7) tu! Ambapo badae utengeneza zingine kwa kuunganisha SI units zaid ya moja mfano speed SI unit yake ni m/s ni baada ya kuunganisha SI unit ya length na time.
Kama umetumia scientific calculator utagundua kua constants zimepewa herufi au alama fulana kuziwakilisha. Lakini hii haina maana kwamba hizo ni SI unit hapana.
Nakupa mfano wa quantities na their SI units.
Quantity SI unit
1.Mass(m) kilogram(kg)/gram(g)

2. Length (l). Meter(m)

3. Time(t). Second(s)

4. Electric current (I). Ampere(A)

5. Amount of substance mole(mol)

6. Unit of luminous intensity. Joule(J)

7. Temperature. Kelvin (K)

Usipoelewa hapa wewe huitajiki kujadili haya mambo nenda mmu ukale kimasihara
"c' is a derived quantity representing the speed of light. It's SI unit is meters per second. "c" is not an SI unit, but a quantity and hence an internationally recognised symbol representing the speed of light
 
Tunakubaliana Kama 'c' sio SI unit?
 
Tunakubaliana Kama 'c' sio SI unit?
Ulitakiwa ulijue hilo tangu mwanzo. Kwa namna wewe unavyoweza kuni-assess mimi nilivyo, ulitakiwa ujue kuwa nimesema "c" siyo SI unit ila ni symbol iliyokubaliwa kimataifa kuwakilisha quantity nyingine ambayo ni speed ya mwanga. . Nakushauri usiwe unapoteza muda ku-argue kwenye marginals ambazo ziko obvious. That way itakuwa inakuondolea credit za weledi wako kwa sababu utakuwa unaoenekana wewe hujui kumzidi hata yule unayemkosoa
 
Wala hakukuwa na ubaya mkuu fuatilia toka mwanzo nimejaribu kukueleza Bado unakomaa na unavyo amini.
Kwenye zile equations mbili ulizoleta hakukuwa na SI unit. Bali kulikuwa na constant 'c' ambayo ni speed ya mwanga ambayo duniani kwote ni sawa ndio maana ikatambulika kwa herufi 'c'
Vinginevyo ni kwa nia ya kujifunza tu sihitaji credit yoyote kutoka kwako au kwingineko.
Niliona makosa nikarekebisha!
Ila Kama 'c' ni SI unit huko kwenu siwezi kukupinga mkuu wangu.
 
QN: A particle in accelerator tube is being accelerated to a maximum travelling speed of 0.99c. Convert its speed in
(a) Kilometers per hour;
(b) Miles per hour
 
QN: A particle in accelerator tube is being accelerated to a maximum travelling speed of 0.99c. Convert its speed in
(a) Kilometers per hour;
(b) Miles per hour
Hili swali haliwezi kufanya constant iitwe SI unit.
Kila mtu abaki na uelewa wake mkuu inatosha sasa!
 
Naona wanasayansi wa bongo mnashusha nondo, basi gundueni hata kadude kadogo dogo tukatumie.

Au nasema uongo ndugu zangu...
 
Kwa hiyo mnatutisha au mimi mwenyewe ndio najitisha kwa kuwa nimesoma art 2
 
Back
Top Bottom