Excuse me. was Einstein a scientist or a librarian?the theory of relativity of Einstein was discovered in 1905
the pythagoras theorem around 500BCE
but EINSTEIN is probably the greatest scientist of all time
Einstein vitu vya kijinga???Acha kumlinganisha Pythagoras na vitu vya kijinga
Kamwe usijaribu kumfananisha ALBERT EINSTEN na mwanasayansi yoyote yule.. newton alikua janjajanja tu na laws zake za motion, ambazo hata mimi ningeweza kuzigundua... kwani wewe hujui kua gari likiwa linatembea haliwezi kusimama mpaka ukanyage breki.??? Clas 2 science.... Einsten is the father of morden physics.. bila yeye hata smarthone zingekua ndoto ... have some respect niggaNo, Isaac Newton deserves.
Unaitumia wapi in real lifee²-d²=c² me napenda kutumia hii formula
sana sana uwa naitumia kwenye kubetUnaitumia wapi in real life
Mkuu Einstein ni mwanasayansi hatari sana lakini mjaribu kumfuatilia kwa undani mtu anaitwa Nikola Tesla. Thank me laterrKamwe usijaribu kumfananisha ALBERT EINSTEN na mwanasayansi yoyote yule.. newton alikua janjajanja tu na laws zake za motion, ambazo hata mimi ningeweza kuzigundua... kwani wewe hujui kua gari likiwa linatembea haliwezi kusimama mpaka ukanyage breki.??? Clas 2 science.... Einsten is the father of morden physics.. bila yeye hata smarthone zingekua ndoto ... have some respect nigga
Unaitumia w
Mkuu applications za Pythagoras theorem katika real life ni nyingi sana kutegemea wewe ni mtu fani gani.Kwa mfano kwa mafundi uashi hutumia hiyo theorem katika kumaintain square za nyumba wakati wa kuset msingi wa nyumba.Unaitumia wapi in real life
Hata Mimi japo sio Fundi lakini ilinisaidia kujua Idadi ya Mabati ninayohitaji na Fundi alipokuja alikuta Ni sahihi.Mkuu applications za Pythagoras theorem katika real life ni nyingi sana kutegemea wewe ni mtu fani gani.Kwa mfano kwa mafundi uashi hutumia hiyo theorem katika kumaintain square za nyumba wakati wa kuset msingi wa nyumba.
Actually, the issue being discussed here is not on the comparison of who among the two Scientists, is greater than the other, but rather on whose equation has a right of using the letter "squared c". You can see the starter of this thread has accompanied a picture of the two scientists, being in a kind of a tag of war depicting a situation of who has the right to use in his equation, that letter "squared c".the theory of relativity of Einstein was discovered in 1905
the pythagoras theorem around 500BCE
but EINSTEIN is probably the greatest scientist of all time
Unamaanisha kuwa imeandikwa "c" kwa lengo la kuwakilisha quantity ambayo ni "constant" na siyo kwamba "c" ni symbol inayotumika kuwakilisha SI unit ya kasi ya mwanga, kama nilivyosema hapo awali? Is this what you actually mean? Kama unamaanisha hivyo utakuwa unafanya makosa makubwa sana. The letter "c" is a symbol for the SI unit of speed of light, unless otherwise statedMkuu umechanganya madesa. Kwenye formula ya E=mc² where m = mass na c =speed of light. SI unit ya mass ni gram/kg na speed ni m/s or km/h. Lakini hii speed of light ni constant haibadiliki na inawakilishwa na herufi 'c'.
Nafikiri nitakuwa nimekukumbusha kidogo mkuu utofauti wa SI units na constants.
SI units ni herufi ambazo zimetengwa na ulimwengu wa sayansi (dunia nzima)I kuwakilisha quantities fulani fulani zinazotumika kwenye fizikia na discipline zingine za sayansi, kiasi kwamba ukishaandika herufi hiyo kwa kifupi chake, huhitaji kusema kuwa umeandika nini. Popote pale andiko hilo litakapokuwepo duniani, wanasayansi wote watajua kuwa ulimaanisha nini. Kwa mfano, ukiandika herufi zifauatazo bila kutoa maelezo mengine ya ziada, zitamaanisha kama ifuatavyoUnamaana gani unaposema SI unit sijakuelewa kabisa
Nimeshasoma na nimeshakujibuNashauri ungelisoma upya komenti yangu kwa utulivu
Unaweza ukatudadavulia kidogo hapa ni kwa namna gani Einstein ana contribution kwenye uwepo wa smartphones?Kamwe usijaribu kumfananisha ALBERT EINSTEN na mwanasayansi yoyote yule.. newton alikua janjajanja tu na laws zake za motion, ambazo hata mimi ningeweza kuzigundua... kwani wewe hujui kua gari likiwa linatembea haliwezi kusimama mpaka ukanyage breki.??? Clas 2 science.... Einsten is the father of morden physics.. bila yeye hata smarthone zingekua ndoto ... have some respect nigga
Ukiwa upo chumbani kwako umesimama kwenye kona moja ya chumba chako, kwenye ukuta wa kwanza, na unataka kwenda kwenye kona nyingine iliyo upande wa pili na iliyo kwenye ukuta wa pili, unatakiwa ukatize katikati ya chumba na hiyo ndiyo itakuwa shor-cut. route Ukipita kando kando ya ukuta utatembea umbali mrefu zaidi. Kwa hiyo, ukitaka kuijua hiyo shortcut ni fupi kiasi gani, kwa kulinganisha na ile ya kupita kandokando mwa ukuta, inabidi utumie Pythagoras theorem.Unaitumia wapi in real life
Kwa ndege sawa ila kwa chumbani hata layman atakatiza tu katikatiUkiwa upo chumbani kwako umesimama kwenye kona moja ya chumba chako, kwenye ukuta wa kwanza, na unataka kwenda kwenye kona nyingine iliyo upande wa pili na iliyo kwenye ukuta wa pili, unatakiwa ukatize katikati ya chumba na hiyo ndiyo itakuwa shor-cut. route Ukipita kando kando ya ukuta utatembea umbali mrefu zaidi. Kwa hiyo, ukitaka kuijua hiyo shortcut ni fupi kiasi gani, kwa kulinganisha na ile ya kupita kandokando mwa ukuta, inabidi utumie Pythagoras theorem.
Nadhani pia mashirika makubwa ya ndege yanayofanya safari ndefu sana za kusafirisha abiria kutoka bara moja kwenda jingine, huwa wanatumia Pythagoras theorem kupata the best route ambayo watasafiri kwa muda mfupi zaidi, assuming route hiyo haina matataizo mengine ya kiuslama wakati wa navigation
Hiyo ni obvious. Ukitaka sasa kujua mahesabu ya ufupi wa njia hiyo, ndiyo hapo sasa anaingia huyu jamaa anayeitwa Pythagoras. Kabla ya yeye, watu walikuwa wanaweza kukatiza hivyo lakini kwa wakati huo walikuwa hawawezi kujibu nija hiyo ni fupi ina uhusiano gani kimahesabu ukilinganisha na ile ndefu ambayo hawakuitumia. Pythagoras alipokuja ndiyo akawa sasa amewawezeha kujua uhusiano wa kimahesabu uliokuwepo kati ya njia hizo mbiliKwa ndege sawa ila kwa chumbani hata layman atakatiza tu katikati
Sijui utaki tu kuelewa au vipi? Unajua tofauti ya constant na SI unit? Hivi unajua kuwa Kuna constants zenye SI units na zisizo na SI unit?Unamaanisha kuwa imeandikwa "c" kwa lengo la kuwakilisha quantity ambayo ni "constant" na siyo kwamba "c" ni symbol inayotumika kuwakilisha SI unit ya kasi ya mwanga, kama nilivyosema hapo awali? Is this what you actually mean? Kama unamaanisha hivyo utakuwa unafanya makosa makubwa sana. The letter "c" is a symbol for the SI unit of speed of light, unless otherwise stated