Not really because even h^2+r^2=k^2 states the same theorem. I guess Einstein deserves the squared cPythagoras deserves the c2 more
Kweli kabisa! Mimi hupendelea kutumia x² + y² = z². Lakini kwenye E= mc² sijawahi kubadili sababu hiyo 'c' ni constant (speed of light).Not really because even h^2+r^2=k^2 states the same theorem. I guess Einstein deserves the squared c
Pythagoras anaweza akaandika hata d^2+f^2=h^2 na bado akawa yuko sahihi, ila Eistein hawezi kwa sababu m and c ni internationally recognised symbols (SI-unit)mkuu umekuja na hoja nzito sana, wala sikuwaza hili
Zile za Eisntein ni SI units, huwezi ukazibadilishaKweli kabisa! Mimi hupendelea kutumia x² + y² = z². Lakini kwenye E= mc² sijawahi kubadili sababu hiyo 'c' ni constant (speed of light).
Unamaana gani unaposema SI unit sijakuelewa kabisaZile za Eisntein ni SI units, huwezi ukazibadilisha
Nashauri ungelisoma upya komenti yangu kwa utulivuZile za Eisntein ni SI units, huwezi ukazibadilisha
Kwa haraka hii formula yako unawezasema umekosea lakini upo sahihi sana mkuue²-d²=c² me napenda kutumia hii formula
Mkuu umechanganya madesa. Kwenye formula ya E=mc² where m = mass na c =speed of light. SI unit ya mass ni gram/kg na speed ni m/s or km/h. Lakini hii speed of light ni constant haibadiliki na inawakilishwa na herufi 'c'.Pythagoras anaweza akaandika hata d^2+f^2=h^2 na bado akawa yuko sahihi, ila Eistein hawezi kwa sababu m and c ni internationally recognised symbols (SI-unit)
the theory of relativity of Einstein was discovered in 1905Not really because even h^2+r^2=k^2 states the same theorem. I guess Einstein deserves the squared c
No, Isaac Newton deserves.the theory of relativity of Einstein was discovered in 1905
the pythagoras theorem around 500BCE
but EINSTEIN is probably the greatest scientist of all time