Pwani: Wanne wafariki kwa ajali

Pwani: Wanne wafariki kwa ajali

NA WATAENDELEAAAA KUFAA KAMA INZI
WATABAKIA KUSEMA RIP RIP TU
MAISHA YATAENDELEA HAKUNA ANAYEJALI
WATEGEMEEE VIFOOO ZAIDI

ova
Madreva hawajielewi Barbara finyu harafu anaendesha mwendokasi unategemea nini,kweli tutaendelea na R.I.P
 
Watu wanne wanasadikika kufariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kwenda Dar es Salaam kugongana na lori la mizigo eneo la Vigwaza mkoani Pwani.

Ajali hiyo imetokea usiku wa leo Oktoba 23, 2023 ambapo inadaiwa watu waliokuwa wakisafiria gari hilo wamefariki papo hapo.

Mwananchi Digital ilipomtafuta Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo kuthibitisha tukio hilo alisema hana taarifa kamili bado wanafuatilia.

View attachment 2790846
Pole zao wafiwa na Mungu awalaze pema waliofariki

Hii gari madhubuti sana yaani imegongwa na kuua lakini mfumo wa umeme uko stable!!!
 
Dah aisee
Hii trend ya ajali imekuwa juu

Mungu tunusuru watoto wako.
 
Back
Top Bottom