Pale Detroit vikubwa vilikuwa ni vya kuunda magari kama General Motors, chevlorent nk, meli na vingine kama vilivyoko Pwani. Kitu cha msingi hapo ni wastes zitakazoweza kuchafua maisha ya maji, ardhi, mimea na viumbe hai vingine wakiwemo wakwere na wazaramo.Usifananishe viwanda vya nyuklia na vya katani chief.
Lazima waseme sasa ni viwanda vingapi na vya aina gani vijengwe wapi. Wawe na habari kamili juu ya faida na hasara ya hiwanda hivyo kiuchumi, kijamii na kiafya.Suala la pwani kujenga viwanja vingi limetokea automatically-viwanja bei rahisi na iko karibu sana na Dar ambako kuna soko kubwa sana la mahitaji mbalimbali. Nilishangaa sana rais alipowamwagia sifa viongozi wa mkoa wa pwani kana kwamba kuna jitihada ya msingi wameifanya-tofauti na viongozi wa mikoa mingine.
Hivyo suala la Pwani kujengw viwanda vingi limekuja lenyewe kutokana na kuwa strategic location kwa malighafi na soko. Hakuna kitu watu wa pwani wanaweza kufanya kuzuia viwanja.
Sioni kama kuna mtu atawasikiliza, hasa ukizingatia uchafuzi wa mazingira kwa kutumia viwanda uko chini sana kwa nchi zetu masikin. Mambo ya viwanda yana siasa nyingi sana hata ktk nchi zilizoendelea, ndo maana USA akajitoa ktk Paris Agreement.Lazima waseme sasa ni viwanda vingapi na vya aina gani vijengwe wapi. Wawe na habari kamili juu ya faida na hasara ya hiwanda hivyo kiuchumi, kijamii na kiafya.
Kwanin,heb nyumbua tukuelewe,..maana kiwanda ni kiwanda tuu,hata kama small scale,waste za malighafi ni zile zile though kwa wenzetu zilizid sabab wanatumia energy ya nuclear..maana idad ya viwanda vilivyopo pwan inaelekea kua kubwa sana,labda kama hujatembea pwan au si mdau,ila sis wadau tunaelewa idada iliyoko huko,..mfano tuu kuna viwanda vy cement huku vingi,njia ya mkuranga na hata kule visiga madafu,na vya gypsum,na chuma etcNi uboya kufananisha Detroit ya mwaka 1710 na Tanzania ya mwaka 2017 aisee..