MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,011
- 6,543
hapo naona kama kuna kupaniana na uadui ndani yake hata ukisikiliza askari hamalizi kuongea jamaa wa ccm anamkatisha katikati hata alipo itwa yule katibu kata kuelezea lile jambo mbona yeye hakuanza na salamu ya kichama CCM IACHE KUENDESHA JESHI NI HATARI SANA TENA VIONGOZI WA JUU WAMUAZIBU HUYO JAMAA WA CCM