Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
- Thread starter
- #21
Huyu jamaa nasikia kuna kipindi wabunge walichemsha akiwa bado Dodoma, yeye akalipoti bila chenga ndo kisa cha kutelekezwa, Cheza na system wewe/.
Aisee...kwa hiyo ni mchezo uleule wa ku-victimize vipaji! What a pity! Yaanni katika hii nchi ukiwa na kipaji kosa.... Hivi kweli alikuwa mtu wa kumtelekeza yule? Tena usikute hata hiyo ishue aliyoripoti bila chenga system ilikuwa na makosa. It is such a shame tunapoteza watu kama huyu Ben Kiko kwa sababu tu ya narcissism ya vilaza katika system; eti system...my foot! system ya ma-narcissist.