Putin kuifuta Wagner group

Baada ya Wagner group kufanya maandamano yao ya kijeshi kitendo hicho kimeonekana kama ni tishio kwa usalama Russia, Putin kwenye kikao cha Leo amekuja uamuzi wa kuifuta Wagner Group kwa kuwapa options tatu Askari wa warger

1: kurudi nyumbani Yani kuachana kabisa na shughuli za kijeshi
2: Kujiunga na jeshi (Russian Army)
3:kwenda Belarus

Makundi haya matatu yameahidiwa kutokuchukuliwa hatua za kinidhamu iwapo watakubali offer hizo

Kuvunjwa vunjwa huku kwa Wagner itawaathili uwepo wapo barani Africa na sehemu zingine(Syria...etc) kwasababu Wagner ambayo inayofanya kazi barani Afrika na kwengine ipo chini ya MOD(Ministry of Defence).

Belarus haina ushawishi barani Afrika, kandarasi za Wagner za kuwa Afrika na Syria zilitolewa na MoD kwa hivyo mkataba utakuwa wa Wagner Russia(Russian Army) sio Belarusi.

Pia katika Hotuba hio yake Putin aliwashukuru Warusi kwa uvumilivu, mshikamano na uzalendo wao wa aina yoyote ya usaliti, majaribio ya kuleta machafuko ya ndani yatashindwa,Uasi wa kutumia silaha ungezuiliwa hata hivyo.

Pia kasema

Maadui wa Urusi walitaka nchi hiyo iingie katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yenye umwagaji damu, imeshindikana

Putin ameahidi kwamba ahadi kwa Wagner itatekelezwa.

Vladimir Putin ameshukuru Lukashenka kwa mchango wake katika kukomesha uasi huo.

Putin anaamini kwamba roho za kizalendo za Warusi, ilichukua nafasi kubwa katika kukomesha uasi hio.
Badala ya kuhangaika na DP World inayotaka kuwanyonya mnahangaika na Wegner group.

Nyambaaaaaafu
 
.
IMG-20230628-WA0001.jpg
 
Jeshi la Misri halikuwa na shida yoyote wala kuhitaji fursa ya kumng'oa Hosni Mubarak, jeshi lilimpindua baada ya kuona nchi itaingia kwenye machufuko mabaya na hakukuwa na namna yoyote nyingine ya kuwatuliza waandamanaji bila umwagaji damu mkubwa.

Prigozhin wa Wagner ni mwendawazimu kuliko Putin. Raia yeyote anayetaka mabadiliko sahihi Urusi asingeweza kumsapoti mtu kama huyo. Hata huko West wanaamini nuclear za Urusi ziko katika mikono salama zaidi kwa Putin kuliko Prigozhin.
West wamekuwa dissappointed kwa hio mutiny kuishia hewani!
Nasema hivyo maana ni wao waliosema walikuwa na intelejensia kuwa Wagner wangeasi ila haikuwa kwenye interest yao kumshtua Putin!
How do you explain that?
 
Hata bila NATO; USA ikipambana ma urusi ana kwa ana, Urusi yote itafutika mara moja. NATO huwa inaisadia Marekani kupata uwanja wa kuweka zana zao tu lakini haitegemei wapiganaji kutoka Europe. Kwa mfano sasa hivi USA inaweza kuweka zana zake Finland na kurahisisha kupiga Urusi moja kwa moja. Udikteta hauwezi kuishinda demokrasi hata siku moja aisee.
Vita kati ya urusi na US maana yake ni nuclear war maana hakuna atakayekubali kushindwa hivyo itakuwa tukose wote!In that case,usitegemee kuona hiyo vita!
Pili,huwezi kusema nani mbabe wa vita mpaka wapigane wao wenyewe!
Hizi zinabaki nadharia tu ambazo hazina uthibitisho wowote!
 
Piga chini Prigozin kazi mpe Victor Bout. Si mshikaji hana mishe toka atoke jela Usa. Ukiangalia cv ya Bout kimedali ni nzuri kuliko Prigozin. Tofauti na Prigo aliekuwa mfanya biashara wa msosi, Victor ni muuza siraha toka day one so ana uwezo wa ku source siraha popote duniani kuendesha mapambano Ukraine na Afrika hata RuMoD wanapokuwa wamemcheleweshea siraha tofauti na Prigo ambae akicheleweshewa siraha anaanza kulia mitandaoni. Bout ni option sahihi labda tu kama ameshakula hela za wamarekani kwa mda aliokaa kwenye jela zao
 
Alaf prigo cha mlomo sana kitu kidogo tu analeta pigo za manara
 
Piga chini Prigozin kazi mpe Victor Bout. Si mshikaji hana mishe toka atoke jela Usa. Ukiangalia cv ya Bout kimedali ni nzuri kuliko Prigozin. Tofauti na Prigo aliekuwa mfanya biashara wa msosi, Victor ni muuza siraha toka day one so ana uwezo wa ku source siraha popote duniani kuendesha mapambano Ukraine na Afrika hata RuMoD wanapokuwa wamemcheleweshea siraha tofauti na Prigo ambae akicheleweshewa siraha anaanza kulia mitandaoni. Bout ni option sahihi labda tu kama ameshakula hela za wamarekani kwa mda aliokaa kwenye jela zao
Majenerali wa urusi kazi kuvaa medali tu !.

1688170428013.png
 
Russia mambo yao kama Sudan alafu anatokea mtu kijiji cha Chita anakwambia ni superpower.
Urusi bora hata Sudani ni wahuni tuu wasiojitambua Nchi ina Ardhi ya kutosha anaenda kugombania kibabe na nguvu hana anatumia vikundi vya kukodi pana Nchi hapo...ulisikia wapi wahuni wanataka kupindua Nchi aisee...eti wanatembea kuifata Moscow mpaka jamaa kaona amekaa na nyoka anatangaza kuifuta mara kukamata wanajeshi waandamizi ili iweje wakati alikosea hapo mwanzo...
 
Hata bila NATO; USA ikipambana ma urusi ana kwa ana, Urusi yote itafutika mara moja. NATO huwa inaisadia Marekani kupata uwanja wa kuweka zana zao tu lakini haitegemei wapiganaji kutoka Europe. Kwa mfano sasa hivi USA inaweza kuweka zana zake Finland na kurahisisha kupiga Urusi moja kwa moja. Udikteta hauwezi kuishinda demokrasi hata siku moja aisee.
Majeshi yote ya huko juu legevu tu hasa yakiwa hayana taarifa (inteligensia).

Mara ngapi NATO amepigwa hapo Somalia, mara ngapi NATO kapigwa kweli kweli katika vi nchi vidogo alivyoingia.
 
Back
Top Bottom