Kiongozi uko ndoton ama?Kumbuka Russia ndiyo anaongoza kumiliki makombora ya nyuklia kuliko nchi yoyote duniani ana kombora lenye uwezo wa kuiteketeza nchi ya ufaransa waeuropean wanalijua hilo wanaliita SATAN
Hahaha!Tuna ICBM za kutosha Mkuu hakuna wa kututisha. Geshi letu liko imara...
Sent using Jamii Forums mobile app
Guido alikuwa na amri ya mahakama kutotoka venezuela,kwahiyo kitendo cha kuvuka mpaka jana kuingia colombia anakuwa amekiuka amri ya mahakama,sasa swali kubwa ni kuwa iwapo misaada ikashindikana kuingia anaweza kurudi vipi ,na hata akirudi venezuela kwa njia za panya kama alivyotoka,maduro tayari anayo sababu ya kumweka ndani kwa kukiuka amri ya mahakama,je atamkamata au ataogopa reaction ya marekani na washirika wake?
Wewe unaongea jeshi la leo na jeshi la wakati wa Hitler; ni kama kusema kuwa bado Ujerumani ina jeshi kubwa la kuweza kuiteka Ulaya yote!ushabiki wako mbaya sana, marekani hajawahi kupigana na mwanaume , uwa anapigana na wanawake na watoto ndio sahizi yake. unadhani marekani ingekuwa ulaya ingeweza kupambana na jeshi la hittler? russia amepigana na wanaume haswa na hawakujiandaa kwa vita walishtukizwa tu kwa sababu ujerumani aliweka makubaliano na russia ya kusaidiana wakati wa vita na mjerumani akayavunja. ikumbukwe russia aliiona ujerumani kama rafiki hivyo hakujiandaa kupambana naye. sasa hivi kajiandaa vya kutosha kwa vita kuu yeyote , usa ijipange haswa
urusi haijafikia levo ya kupigana na marekani huwez kuwa sirias boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Vietnam syria nani alisimamia showWewe unaongea jeshi la leo na jeshi la wakati wa Hitler; ni kama kusema kuwa bado Ujerumani ina jeshi kubwa la kuweza kuiteka Ulaya yote!
Jeshi la urusi ni bado jeshi la ulinzi wa homeland, siyo jeshi la mashambulizi kimataifa. Urusi haina ubavu wa kuendesha vita ya mbali bila kuwa na kambi ya karibu kwa zaidi ya wiki.
Yoye hiyo ni vita ya nyumbani kwa urusi, siyo ya ya kimataifa.Vietnam syria nani alisimamia show
@Richardirakunda,
misaada inatumika tu kama njia ya kuanzisha sekeseke,ndo maana UN na msalaba mwekundu wakajiweka pembeni,
hata watu wanaoipokea,ambao wanadaiwa kuwa katika hatihati ya kufa njaa,majamaa yanaonekana yako well fed,vitambi etc,kwa ufupi wanahitaji mazoezi ya kukata unene,
wakati madura kaagiza tani 300 za chakula,hawa jamaa wana tani chache tu kwenye magari machache tu,eti hizo caton chache za biskuit,nyama za makopo etc ndo zitaondoa tabu ya venezuela ,inshort ni geresha
Kuna raia kama watano mpaka sasa wamekufa na majeruhi wengi,
kuna askari baadhi wa venezuela wamedefect,
gari moja iliyokuwa na misaada imechomwa moto,
venezuela wamevunja uhusiano na colombia,pia maduro ametangaza kufungwa kwa anga la venezuela kwa ndege za abiria,
wapinzani wa venezuela watakuwa wameshauliwa na wataalamu maana mamia ya watu wanazingira kambi za jeshi na kuna airport moja tayari iko mikononi mwa wapinzani,
kama hali itaendelea hivi,yale ya syria yanaweza kutokea Venezuela