Putin: Europe still a key partner for Russia, but China a priority

Alimpiga German wakati wa Hitler chini ya rais wao Joseph Stalin kwnye WW II
Na kutoka kipindi hicho hajawahi pigana tena zaidi ya afghanistan akakimbia na kukipiga kinchi cha Geogia. Na uchumi wao bado haujamkutia US pamoja na kwamba ni nchi kila siku iko kwenye uwanja wa mapambano. For me russia can not ever win the war agaist america for sure
 
Kaka ingia Youtube, search satan s-18. mashine imeelezwa kuwa ndio bomu linalokimbia kuliko bomu lolote lile, kikubwa zaidi linabeba Nuclear 10.

Did you know what america hide inside. Ka kimya wewe kama ni hivyo na russia anavyopenda ubabe angeshamkalisha USA siku nyingi sana
 
Hata Nuclear zikiwekwa pembeni bado US hachomoki kwa Mrusi, wale majamaa wana defence ambayo tangu ulimwengu uumbwe haijawahi kutengenezwa hiyo System. Kitu ambacho US wanaweza kujivunia ni ndege zake za F-22 maarufu kama Raptor, hizi ndege zinakimbia hatari ila sidhani kama zinaweza kukimbia mbele ya S-300 au S-500. Kwa kifupi ni kuwa hakutakuwa na takataka yoyote itakayoweza kuruka kwenye anga la Urusi, iwe ndege au bomu lolote lile, sijajua kama US yeye ana defence ya namna gani.

Hapo umeongea sawa hujui US yeye ana kitu gani
 
Unafikiria kwa kutumia magoti. Unadhani Wamarekani ni wajinga kiasi hicho.Ningekuona kidogo unajaribu kufikiri kama ungesema Marekani itapigana na Urusi lakini sio Marekani kuipiga Urusi. Usiwe unaongea vitu kama hivi mbeleya jumuia kama JF watu wanaweza kufahamu kirahisi juu ya IQ yako, ambayo nafikiri ingebakia kuwa siri yako. Wewe mpaka leo kwa nini hujiulizi kwa nini Marekani haiingii vitani peke yake bila ya kuwa na washirika, au kwa nini hujiulizi kwa nini Marekani ilikua nchi ya kwanza kutumia nyuklia kwa nchi ndogo ya Japan. Hapa wala simaanishi kuwa Urusi inaweza kuipiga Marekani bali namaanisha zitapigana.Na mshindi atakaepatikana atabaki kuwa masikini kuliko Tanzania. Narudia tena Wamarekani sio wajinga kujaribu kuchokoza vita na Urusi.

Japan nchi ndo acha mzaha kabisa kipindi ilikalisha mpaka china enzi hizo na walitaka kuchukua asia nzima. Soma historia kiongozi inaelekea unajaribu jaribu na US ilifanya hivyo kuokoa maisha ya askari wake na kuokoa uchumi wake pia
 
Russia hana ubavu wa kupanga mkono na us wewe, mkwala wa russia ni kama wa north korea

Vita kati ya russia na US ni mbaya na ni hatari sana sio kitu cha kuonea impact yake itakupata mpaka wewe ushiriki au usiposhiriki
 
Poa, ngoja tuone mkuu. Lakini unakumbuka wakati georgia&chechya. NATO na US walimpa kiburi sana Georgia. Lakini russia alivyoanza ku advance jamaa wakakaa kimya kabisa. Mpaka alivyomaliza kusulubiwa. Na wakati huo Marekani alikuwepo rais mweupe tena wa Republican.....

Unathani putin ni kama Kagame au ------. Let them excel i wish them all the best. Siku west watakuja kuona uongo wao na ushenzi wao umepitwa na wakati.
Fikiria population ya china tu pekee acha ya europe ambao wanamezwa na uislam. Moto umenza west taratibu na watakoma
 
Vita kati ya russia na US ni mbaya na ni hatari sana sio kitu cha kuonea impact yake itakupata mpaka wewe ushiriki au usiposhiriki

Amesahau kwa Hisani ya watu wa Marikani.
 
Did you know what america hide inside. Ka kimya wewe kama ni hivyo na russia anavyopenda ubabe angeshamkalisha USA siku nyingi sana

hapa Mkuu umebugi, Russia na US nani anapenda ubabe?
 
Na kutoka kipindi hicho hajawahi pigana tena zaidi ya afghanistan akakimbia na kukipiga kinchi cha Geogia. Na uchumi wao bado haujamkutia US pamoja na kwamba ni nchi kila siku iko kwenye uwanja wa mapambano. For me russia can not ever win the war agaist america for sure

Acha porojo wewe, Vita ya Geogia nayo ni vita? Halafu kumbuka pale wanatumia siraha za kawaida kabisa yena Bunduki,
matsvcxw2eyazha74x5d.jpg

uliza USA kuhusu hii kitu. Topol M

161664918.jpg

Hili ni BULAVA MISAILE INAYO RUSHWA NA NYAMBIZI MADHARA YAKE NI 100 times atomic bomb

trung%20quoc%20s-400.jpg

S-400
 
Sorry mkuu hiv marekani ameshawahi kupigana vita peke yake tangu ile vita ya vietinam?
 
IF republican take the government russia atakaa kimyaaa coz anajua siasa za marekani na sasa Obama anafanya kuandaa njia and now uchumi wa marekani umeanza kukua kwa kasi tena

Tusidanganyike marekani wala urusi hawawezi kupigana vita na wakipigana basi jua dunia itapata madhara zaidi ya vile vita vya ww1 na 2 ,hawa jamaa wataendelea kutengeneza dili la vifaa vya kijeshi sis tunabaki kusema watapigana kumbe matangazo ya siraha tu,
 
Sorry mkuu hiv marekani ameshawahi kupigana vita peke yake tangu ile vita ya vietinam?
Vita yeye anaomba msaada kwa kuavoid matumizi analinda uchumi wake. Soma historia ya russia baada ya vita ya kwanza ya dunia nini kiliwapata. so ni mbinu za kubana matumizi kijana. Angalia tanzania pia baada ya vita vya uganda.
 
Tusidanganyike marekani wala urusi hawawezi kupigana vita na wakipigana basi jua dunia itapata madhara zaidi ya vile vita vya ww1 na 2 ,hawa jamaa wataendelea kutengeneza dili la vifaa vya kijeshi sis tunabaki kusema watapigana kumbe matangazo ya siraha tu,

Nop kijana siku russia anagusa nchi yoyote ya nato utaona itakavyokuwa. Ingawaje najua hawazi fanya kitu kama hicho
 
Acha porojo wewe, Vita ya Geogia nayo ni vita? Halafu kumbuka pale wanatumia siraha za kawaida kabisa yena Bunduki,
matsvcxw2eyazha74x5d.jpg

uliza USA kuhusu hii kitu. Topol M

161664918.jpg

Hili ni BULAVA MISAILE INAYO RUSHWA NA NYAMBIZI MADHARA YAKE NI 100 times atomic bomb

trung%20quoc%20s-400.jpg

S-400

CC H Lugo angalia wanaume wa kazi
 
Last edited by a moderator:
Vita yeye anaomba msaada kwa kuavoid matumizi analinda uchumi wake. Soma historia ya russia baada ya vita ya kwanza ya dunia nini kiliwapata. so ni mbinu za kubana matumizi kijana. Angalia tanzania pia baada ya vita vya uganda.

Mkuu concrete15 kwanza pole sana..

Kwasababu una comment kwa uchungu sana yaani unalazimisha B iwe A,utadhan wewe n mmarekani..

Pili umesema,Russia anapenda Ubabe hivi kati ya marekani na russia nani anapenda ubabe.??

Tatu,unadai marekani ana siraha hatari amezficha,umewah kuziona.??na hata kama ni kweli zipo,una sababu gani ya kutosema russia nao wana siraha wamezificha.??

Nne unaionglea Japan kuipiga china enzi hizo na kutaka kuichukua Asia nzima,je hujui kwamba mambo yanabadirika.??na unadhan kwanin sahiv japan ana muogopa sana china na kama china akimtishia tu,ye anakimbilia marekani kulalama.??

Tano,unasema Russia hajawah kupigana vita tangu WW2,je marekani amepigana vita gani zaid ya ile ya vietnam ambayo alishindwa.!na sehem nyngne kama iraq,libya etc,hazkuwa vita bali ulikua ni uvamiz ambao nao hakuwa na uwezo wa kuufanya pekeyake bila NATO.!!

MWISHO KIMSINGI,MAREKANI ANAIGOPA SAAAANA URUSI WAKATI HUOHUO URUSI ANAIOGOPA SAAANA MAREKANI.
 
Nimekupa like mkuu,inajua kunawatu humu wanadanganyika sana na movie za kimarekani ndio maana yanawatoka mapovu mdomoni kuitetea marekani,tunajua marekani inatupa sana msaada lakini kwenye ukweli basi tuseme ukweli tu bila upendeleo,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu concrete15 kwanza pole sana..

Kwasababu una comment kwa uchungu sana yaani unalazimisha B iwe A,utadhan wewe n mmarekani..

Pili umesema,Russia anapenda Ubabe hivi kati ya marekani na russia nani anapenda ubabe.??

Tatu,unadai marekani ana siraha hatari amezficha,umewah kuziona.??na hata kama ni kweli zipo,una sababu gani ya kutosema russia nao wana siraha wamezificha.??

Nne unaionglea Japan kuipiga china enzi hizo na kutaka kuichukua Asia nzima,je hujui kwamba mambo yanabadirika.??na unadhan kwanin sahiv japan ana muogopa sana china na kama china akimtishia tu,ye anakimbilia marekani kulalama.??

Tano,unasema Russia hajawah kupigana vita tangu WW2,je marekani amepigana vita gani zaid ya ile ya vietnam ambayo alishindwa.!na sehem nyngne kama iraq,libya etc,hazkuwa vita bali ulikua ni uvamiz ambao nao hakuwa na uwezo wa kuufanya pekeyake bila NATO.!!

MWISHO KIMSINGI,MAREKANI ANAIGOPA SAAAANA URUSI WAKATI HUOHUO URUSI ANAIOGOPA SAAANA MAREKANI.

sidhani kama Russia anamwogopa US kama US anavyomwogopa Russia, mimi naamini Kabisa, endapo US atapigana Vita bila washirika wake, hii vita kwa Russia huenda isiwe ngumu saaaana kama tunavyodhani.
 
Last edited by a moderator:
sidhani kama Russia anamwogopa US kama US anavyomwogopa Russia, mimi naamini Kabisa, endapo US atapigana Vita bila washirika wake, hii vita kwa Russia huenda isiwe ngumu saaaana kama tunavyodhani.

Mkuu tatizo hao wakipigana hawatatumia siraha za kawaida hapo ni nyuclia kwenda mbele,
 
hapo ndipo US atakapoogopa, hata wakisema Nuclear isitumike mwisho wa siku Russia akizidiwa lazima azidondoshe. Mimi naamini kabisa, US hawezi kumchokonoa Russia akiwa peke yake. Russia ana defense safi sana, inasemekana hizi S-300,S-400 na S-500 ndio system kali zaidi ktk Ulimwengu wa sasa. Ingia Youtube search Satan S-18 harafu rudi hapa, mzigo ndani yake unabeba Nuclear Warhead 10.
 
Russia atapigwa endapi NATO na US wataichangia wote ila si US kwenda yeye kama yeye pamoja na UK, FRANCE NA ITALY. Hawa Wote sidhani kama wanaweza wakapona, Russia ana makombora hatari. Ana Mikombora inaitwa Satan S-18, acha kabisa. Hizi kombara akidondosha kadhaa tu US,dunia nzima tunatuma pole Marekani. US sio wajinga, ndio maana safari hii ameamua kuwaingiza na NATO ktk kuwadondosha hawa Russia maana anajua yeye na England, France, Italy na German hawawezi kumtuliza huyu Jamaa.
Sasa Unaelewa nini maana ya NATO. (An injury to one is an injury to all)
We hujui hata Russia ilikuwa Soviet Union(USSR)? Kwa nini haikuwa peke yake, na kwanini inaendeleakuogopa kuwa yenyewe mpaka sasa hata kufikia maamuzi ya kuvamia UKraine? Mwanajeshi bora ni yule aliyepigana vita vingi.. US wana marks nyingi kuliko Russia.
 
Back
Top Bottom