Putin: Europe still a key partner for Russia, but China a priority

Putin: Europe still a key partner for Russia, but China a priority

Mkuu Urusi anaogopwa sana na Marekani na kama watapigana huo ndio utakuwa mwisho wa US as superpower.

tena US akiingia yeye kama yeye huenda vita ikawa rahisi sana kwa Russia, atapigwa mtu mpaka dunia nzima tuandamane kuomba US asamehewe.
 
tena US akiingia yeye kama yeye huenda vita ikawa rahisi sana kwa Russia, atapigwa mtu mpaka dunia nzima tuandamane kuomba US asamehewe.

Russia hana ubavu wa kupanga mkono na us wewe, mkwala wa russia ni kama wa north korea
 
Ingekua kupigwa basi angepigwa na bushi pale alipoivamia georgia,
Bush alikuwa ndio anamaliza kipindi chake.Hakuwa na muda, ila hata hivyo mahali pa kupigwa Russia sio hapo kwenye nchi zisizokuwa wanachama wa NATO. Akiguswa mwanachama mmojawapo ndio itakuwa shida.
 
Warusi wamekimbilia Brazil na Argentina kutengeneza dili za ku import chakula na wametupita hapa hapa! Dah! Wakuu hakuna mtu anamjua mrusi hata mmoja au wawili tujue wanataka nini kwa quality gani na kiasi gani tuone kama hatuwezi jipanga ku supply?

Vitu kama hivi ingetakiwa wizara ya kilimo inavichangamkia sasa! Tutashindwa mpaka lini na akili tunayo na mahela yapo? Au ni ya kuhongana tu katiba ipite!

Anyways yeyote mwenye contact na mrusi afanye mambo basi!
 
Putin anatafuta kupigwa tu, Rais atakayeingia marekani baada ya Obama lazima amtandike huyu jamaa.

Unafikiria kwa kutumia magoti. Unadhani Wamarekani ni wajinga kiasi hicho.Ningekuona kidogo unajaribu kufikiri kama ungesema Marekani itapigana na Urusi lakini sio Marekani kuipiga Urusi. Usiwe unaongea vitu kama hivi mbeleya jumuia kama JF watu wanaweza kufahamu kirahisi juu ya IQ yako, ambayo nafikiri ingebakia kuwa siri yako. Wewe mpaka leo kwa nini hujiulizi kwa nini Marekani haiingii vitani peke yake bila ya kuwa na washirika, au kwa nini hujiulizi kwa nini Marekani ilikua nchi ya kwanza kutumia nyuklia kwa nchi ndogo ya Japan. Hapa wala simaanishi kuwa Urusi inaweza kuipiga Marekani bali namaanisha zitapigana.Na mshindi atakaepatikana atabaki kuwa masikini kuliko Tanzania. Narudia tena Wamarekani sio wajinga kujaribu kuchokoza vita na Urusi.
 
Sijui mnaongea kwa kutumia logic ipi? Labda niulize swali, katik vita baridi Rusia/USSR na western powers/USA nani aliibuka mshindi?
 
We huelewi unachoongea. Vita ya nuke sio mchezo. Ursui Na USA ndio wanamiki +90% ya silaha za nukilia. Na hill ndilo linawanyima wamagharibi usingizi.

Nuclear zikiwekwa pembeni nani atatandikwa? Mpaka sasa katika vita ya economic suctions ni nani anapigika?
 
Nadhan US hawezi kwenda vitani na Mrusi coz anajua impact yake kiuchumi,,anajua waz mrusi atamsumbua sana na ata kama atashinda vita nin hasa US itakifaidi kutoka Urusi,,tofauti na nchi kama Iraq,Libya ambako sasa hiv US inayafaidi mafuta..!!
 
SIKU Kuipiga Russia kukimake economic sense kwa USA. Wote nyie mnaopiga kelele hapa Rusia this Putin that mtabaki mdomo wazi.

Na kama ikitokea ikawa kesho, huyo Putin wenu anaweza akafa kifo cha aibu kuliko Gadafi
 
Kuna mrusi nawasiliana nae kuhusu hizi agricultural products nataka nianze kupeleka
 
Halafu kumbukeni hiyo vita itapiganiwa kwenye aridhi ya USA make Kombora kama SATAN linaenda km 11000 maana yake yakirushwa kutoka moscow yanatua New york
Urusi si ya kufanyia mzaha hata kidogo. ndo wenye most advance air defence systeam. S-400 na S- 500 hizi hazina mpinzani, SATAN- RS 24 kama sijakosea soma sifa zake, soma sifa za Vacum Bomb la Murusi, soma sifa za BULAVA. soma sifa za SINEVA, Haya ni makombora hatari kabisa ambayo yanaweza leta maafa makubwa sana.
 
Hata Nuclear zikiwekwa pembeni bado US hachomoki kwa Mrusi, wale majamaa wana defence ambayo tangu ulimwengu uumbwe haijawahi kutengenezwa hiyo System. Kitu ambacho US wanaweza kujivunia ni ndege zake za F-22 maarufu kama Raptor, hizi ndege zinakimbia hatari ila sidhani kama zinaweza kukimbia mbele ya S-300 au S-500. Kwa kifupi ni kuwa hakutakuwa na takataka yoyote itakayoweza kuruka kwenye anga la Urusi, iwe ndege au bomu lolote lile, sijajua kama US yeye ana defence ya namna gani.
 
Halafu kumbukeni hiyo vita itapiganiwa kwenye aridhi ya USA make Kombora kama SATAN linaenda km 11000 maana yake yakirushwa kutoka moscow yanatua New york
Urusi si ya kufanyia mzaha hata kidogo. ndo wenye most advance air defence systeam. S-400 na S- 500 hizi hazina mpinzani, SATAN- RS 24 kama sijakosea soma sifa zake, soma sifa za Vacum Bomb la Murusi, soma sifa za BULAVA. soma sifa za SINEVA, Haya ni makombora hatari kabisa ambayo yanaweza leta maafa makubwa sana.

Kaka ingia Youtube, search satan s-18. mashine imeelezwa kuwa ndio bomu linalokimbia kuliko bomu lolote lile, kikubwa zaidi linabeba Nuclear 10.
 
Putin anatafuta kupigwa tu, Rais atakayeingia marekani baada ya Obama lazima amtandike huyu jamaa.

Mkuu sio rahisi kihivyo hii itakuwa WW III,ambayo itahisisha silaha na zana za kisasa zaidi e.g nyuklia,na USA atakuwa anapigwa kwake direct so kinachofanyka n kupunguzana nguvu tu ili iwepo balance of power
 
Putin anatafuta kupigwa tu, Rais atakayeingia marekani baada ya Obama lazima amtandike huyu jamaa.

IF republican take the government russia atakaa kimyaaa coz anajua siasa za marekani na sasa Obama anafanya kuandaa njia and now uchumi wa marekani umeanza kukua kwa kasi tena
 
Back
Top Bottom