Putin: Europe still a key partner for Russia, but China a priority

Putin: Europe still a key partner for Russia, but China a priority

Extraterrestrial

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
413
Reaction score
265
Published time: October 02, 2014 14:24 Get short URL

Trade with Russia's largest partner Europe will continue, but cooperation with Asian countries, especially China, are a priority for the Kremlin.

"This is our conscious choice and it wasn't just made yesterday, or the day before. We made it many years ago, on par with the trends of the global economy," Putin said, addressing a panel at VTB Capital's investment forum Russia Calling! on Thursday.

The expanding growth of Asian economies can be used to harness growth elsewhere, the Russian President said.

Russia is not thinking in terms of sanctions or political limitations, but looking ahead to building relationships with BRICS countries, especially China and India, the President stressed. An example of this is the establishment of the BRICS bank in July that was first proposed in 2002.

"These are today's realities and we should adopt a long-term perspective," Putin said.

"We're not going to scale down relations with traditional partners, with Europe," Putin said, noting that Russia-EU trade is $430 billion. Russia's shift towards China is part of an overall pivot toward Asia after Western sanctions endangered certain Russian industries.

Bilateral trade between Russia and China is already nearly $90 billion and is scheduled to hit $200 billion in the next 6 years. Russia has also been turning to China to set up joint oil and gas ventures, including a $400 billion deal with Gazprom in May, which got underway earlier this month.

Rosneft, the world's largest oil company, offered joint partnership in its Vankor oil field in Eastern Siberia to Chinese partners, adding to a $270 billion deal to supply China National Petroleum Group it inked in 2013.

Sanctions have also pushed Russia to seek deeper trade relations in Latin America with the likes of Brazil and Argentina, to fill the gap left by the ban of European agricultural imports, which Russia introduced as a counter to international sanctions in August.

The Ukraine crisis has brought to focus trade disputes and natural gas rows between Russia and the EU, which have a long history of cooperation.

Source: http://cdn.rt.com/files/news/2f/05/40/00/china.si.jpg

WELL SAID PUTIN NAONA KITAKACHOTOKEA KARIBUNI GAS SUPPLY TO EUROPE WILL BE DISRUPTED NA PUTIN ALISEMA HE CAN NOT GUARANTEE GAS SUPPLY TO EUROPE VIA UKRAINE.WINTER IMESHAANZA HUKO EUROPE NA UKRAINE,YETU MACHO.
 
Russians naona wanaenda taratibu ili wasiwa disturb raia wao. Poland sasa hivi anapiga kelele kwa marekani eti anaomba msaada hasije akavamiwa na putin.
Kuna rafiki yangu ninachat naye kwenye skype, yeye ni mzee sana kama 72 years hivi, ni daktari. ananiambia hakuna nchi ya ukraine. Anasema mpaka kieve penyewe jamaa wa KGB wamejaa. Yaani serikali ya ukraine ni jina tu.
 
Putin anatafuta kupigwa tu, Rais atakayeingia marekani baada ya Obama lazima amtandike huyu jamaa.
 
Putin anatafuta kupigwa tu, Rais atakayeingia marekani baada ya Obama lazima amtandike huyu jamaa.

Ngoja tuone. Unajua america kwenye vita si majasili mkuu. Askari wao huwa wanaenda kwenye vita kama kazini. baada ya mudafulani anachukua likizo. Russians na Marekani wote wanasiraha mbaya sana kaka. husiombee vita hii. Hakuna nchi yoyote inayoweza kupitisha ndege pembezoni mwa mipaka ya anga ya amerika lakini siku hizi wanafunzi wa kijeshi wa urusi kila mara wanafanya mazoezi huko. America anashindwa afanyeje kwasababu hawavunji sheria za anga za kimataifa.
 
Sasa kama hawavunji sheria za anga unafikiri wamarekani watafanyaje? Cha msingi ni kusubiri rais mwingine aje, akiingia white man tu putin anatandikwa hakuna cha siraha nzito wala nini.

tena atapigwa mpaka watu wabaki midomo wazi.
 
Poa, ngoja tuone mkuu. Lakini unakumbuka wakati georgia&chechya. NATO na US walimpa kiburi sana Georgia. Lakini russia alivyoanza ku advance jamaa wakakaa kimya kabisa. Mpaka alivyomaliza kusulubiwa. Na wakati huo Marekani alikuwepo rais mweupe tena wa Republican.....
 
I can bet, that man was not one of the bushs
 
Sasa kama hawavunji sheria za anga unafikiri wamarekani watafanyaje? Cha msingi ni kusubiri rais mwingine aje, akiingia white man tu putin anatandikwa hakuna cha siraha nzito wala nini.

tena atapigwa mpaka watu wabaki midomo wazi.

Ingekua kupigwa basi angepigwa na bushi pale alipoivamia georgia,
 
Ingekua kupigwa basi angepigwa na bushi pale alipoivamia georgia,

Mkuu unapoteza muda bure, mtu anasema Russia atapigwa na Marekani tena kirahisi rahisi tu, hana evidence yoyote
 
Sasa kama hawavunji sheria za anga unafikiri wamarekani watafanyaje? Cha msingi ni kusubiri rais mwingine aje, akiingia white man tu putin anatandikwa hakuna cha siraha nzito wala nini.

tena atapigwa mpaka watu wabaki midomo wazi.
Unaogopeshwa Ndege unazoziona mitandaoni, unaweza kufikiri kidogo tuuuu, kwann Ilkuwa vita baridi, kwann hakupigwa mRusi fasta km usemavyo, kwann Ukraine haijasababisha vita huko badala ya kuweka vikwazo, yugoslavia alipigwa, iraq pia, Syria mbn hajapigwa, inaonekana kuna mambo mazito huyajui
 
Russia atapigwa endapi NATO na US wataichangia wote ila si US kwenda yeye kama yeye pamoja na UK, FRANCE NA ITALY. Hawa Wote sidhani kama wanaweza wakapona, Russia ana makombora hatari. Ana Mikombora inaitwa Satan S-18, acha kabisa. Hizi kombara akidondosha kadhaa tu US,dunia nzima tunatuma pole Marekani. US sio wajinga, ndio maana safari hii ameamua kuwaingiza na NATO ktk kuwadondosha hawa Russia maana anajua yeye na England, France, Italy na German hawawezi kumtuliza huyu Jamaa.
 
Sasa kama hawavunji sheria za anga unafikiri wamarekani watafanyaje? Cha msingi ni kusubiri rais mwingine aje, akiingia white man tu putin anatandikwa hakuna cha siraha nzito wala nini.
unahisirussia ni tanzania nn mkuu utaipiga kirahisi hvyoo
tena atapigwa mpaka watu wabaki midomo wazi.

mkuu unahisi russia ni Tanzania ipigwe kirahisi hvyo
 
Putin anatafuta kupigwa tu, Rais atakayeingia marekani baada ya Obama lazima amtandike huyu jamaa.

Mkuu Urusi anaogopwa sana na Marekani na kama watapigana huo ndio utakuwa mwisho wa US as superpower.
 
Kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake
 
Mimi nadhani Putin kaonyesha ukomavu wa kisiasa kuliko kauli za wagharibi za uchochezi, matusi rejereja dhidi ya Putin Na Urusi, bado mrusi anawaita EU na US key partners, our colugues, western partners and so on.
 
Back
Top Bottom