Putin: Europe still a key partner for Russia, but China a priority

Putin: Europe still a key partner for Russia, but China a priority

Mkuu tatizo hao wakipigana hawatatumia siraha za kawaida hapo ni nyuclia kwenda mbele,

US na RUssia wanadondosheana ndege za kijasusi kila siku, hadi ile ya juzi ya abiria (Malaysia) lakini hawajafikiria kutumia nyuklia. Kiufupi kutumia nyuklia ni uamuzi wa mwisho..
India na pakistan wanachapana kila siku kuhusu kashimir lakini hawatumii Nyuklia??!!!!!!!!.
----------------------------------------------------------------
Indian and Pakistani troops
fired bullets and mortar shells across the border between Kashmir and Pakistan for a second day Tuesday, with both accusing the other of provoking the violence.
Police in both countries said troops exchanged fire for hours overnight, killing a Pakistani man and injuring at least 22 others. Earlier violence on Monday killed nine civilians.

http://news.yahoo.com/photos/india-pakistan-exchange-fire-over-kashmir-border-1412683844-slideshow/

 
Mkuu concrete15 kwanza pole sana..

Kwasababu una comment kwa uchungu sana yaani unalazimisha B iwe A,utadhan wewe n mmarekani..

Pili umesema,Russia anapenda Ubabe hivi kati ya marekani na russia nani anapenda ubabe.

Tatu,unadai marekani ana siraha hatari amezficha,umewah kuziona.??na hata kama ni kweli zipo,una sababu gani ya kutosema russia nao wana siraha wamezificha.??

Nne unaionglea Japan kuipiga china enzi hizo na kutaka kuichukua Asia nzima,je hujui kwamba mambo yanabadirika.??na unadhan kwanin sahiv japan ana muogopa sana china na kama china akimtishia tu,ye anakimbilia marekani kulalama.??

Tano,unasema Russia hajawah kupigana vita tangu WW2,je marekani amepigana vita gani zaid ya ile ya vietnam ambayo alishindwa.!na sehem nyngne kama iraq,libya etc,hazkuwa vita bali ulikua ni uvamiz ambao nao hakuwa na uwezo wa kuufanya pekeyake bila NATO.!!

MWISHO KIMSINGI,MAREKANI ANAIGOPA SAAAANA URUSI WAKATI HUOHUO URUSI ANAIOGOPA SAAANA MAREKANI.

Hello Somji Juma
Unaposema marekani walishindwa vita vya veitnam unamaanishanini, u want them to wipe all the Vietnamese ndo ujue wameshinda vita. vita vile marekani waliona watu wagumu na wanawauwa mno ikabidi watumie ubinadamu na wakati huo maandamano nchini mwao yamejaaa kupinga hiyo vita coz haina maslai zaidi ya kuuwa tu kwa wingi. Ok russia kama ana ubabe kwa USA mbona hawezi kuicommand kama wao wanavyopelekeshwa kuanzia cold war mpaka sasa angalau Putin ni jeuri.
 
Back
Top Bottom