Wanajinyea sasaivi maana waliambiwa wasipeleke silaha hawasikii, Leo kabla ya Putin kutinga Kremlin kulikua na mkutano unaohusu Belarus zipelekwe Iskander ambazo zisizokua na silaha za nucleus na zilizo na vichwa vya NuclearsKama namuona Biden akichungulia kwenye shuka kinachoendelea kwenye TV huku roho inamdunda balaa....
Za chinikwachini 😃Za chinikwachini inasemekana kuwa international war inagonga hodi, acha tusubir nn kitajiri
Sikuwahi kuwaza jamaa ni mjinga wa kiwango hiki!Vita ya kipumbavu, wenye akili wame mpuuza ndio maana sasa hivi hakuna anae iongelea
Sasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina NapoleonSikuwahi kuwaza jamaa ni mjinga wa kiwango huki!
kwahiyo unahisi USA angeweza kukubali jirani yake Mexico au Cuba kujiunga na Warsaw pact enzi ya Cold war au hata sahizi Russia waweke kambi ya kijeshi Cuba !Sasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina Napoleon
Ila nyie warusi wa kiabakari mna manenoKama namuona Biden akichungulia kwenye shuka kinachoendelea kwenye TV huku roho inamdunda balaa....
We jamaa nae kiazi kweli, NATO si wapo hapo Poland mbona wasi wapige Poland?kwahiyo unahisi USA angeweza kukubali jirani yake Mexico au Cuba kujiunga na Warsaw pact enzi ya Cold war au hata sahizi Russia waweke kambi ya kijeshi Cuba !
mambo mengine mnaongea yanashangaza sana
Kwahili jibu lako ww na huyo muulizaji yupi waajabu!!!??We jamaa nae kiazi kweli, NATO si wapo hapo Poland mbona wasi wapige Poland?
Sababu za rusia kuivamia Ukraine kisa hawataki wajiunge NATO hazina mashiko kwa sababu Rusia ana majirani wanao share mipaka kama poland na Estonia ambao wako NATOKwahili jibu lako ww na huyo muulizaji yupi waajabu!!!??
Poland unaijua?? Au unahisi ni karibu na URUSI???We jamaa nae kiazi kweli, NATO si wapo hapo Poland mbona wasi wapige Poland?
Acha upimbi. Hivi kati ya wewe na Russia anayeishi kizamani ni naniSasa wewe rusia ana mawazo ya karne ya 19 wakati watu washatoka huko. Habari za kuvamia nnchi nyingine na kuchukua arthi yao ni mambo ya kina Napoleon