Putin amuonesha Trump who is the boss ?

Putin amuonesha Trump who is the boss ?

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya anga tangu vita hivo vya zaidi ya miaka mitatu kuanza.katika mashambulizi hayo yaliotokea usiku wa july 9 urusi imevurumisha ndege zisizo na rubani takribani 800 na makombora ya baharini 13 ambayo yamepiga miji mbali mbali.

Haya yanajiri baada ya rais wa Marekkani Donald Trump kusema amechukizwa na vitendo vya rais wa ursi Vladimir Putin na anapanga kutuma silaha zaidi kyiv
 
mm kinachonivutia kwa putin sio muongeaji sana lkn nakumbka ule msemo simba mwenda polee ndio mla nyama
 
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya anga tangu vita hivo vya zaidi ya miaka mitatu kuanza.katika mashambulizi hayo yaliotokea usiku wa july 9 urusi imevurumisha ndege zisizo na rubani takribani 800 na makombora ya baharini 13 ambayo yamepiga miji mbali mbali.

Haya yanajiri baada ya rais wa Marekkani Donald Trump kusema amechukizwa na vitendo vya rais wa ursi Vladimir Putin na anapanga kutuma silaha zaidi kyiv
Wala mimi sishangai, Trump kigehu gehu sana, mimi nilisha mshitukia siku nyingi kwamba hana nia thabiti ya kumaliza mgogoro WA Ukraine, alichokuwa anafanya ni kumpigia simu Putin mara kwa mara lakini sio kutaka kukutana na Putin ana tangu aigie White House, cha ajabu Trump amekwisha kutaka na Zelensky ana kwa ana zaidi ya mara TATU au nne!! Baada ya kugudua hilo ndiyo nikaona Trump anampigia pigia simu Putin akiwa na lengo la kumchota akili tu lakini Trump, Waziri mkuu wa Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Poland na baadhi ya Mataifa ya Ulaya(ie some NATO members wamepania kuanzisha vita na Urusi - wamepania kweli kweli, lakini hata iweje Urusi ataeashinda tu, Urusi si mchezo walisha jipanga kuhusu kukabiliana na mahasimu wao wakubwa (NATO), na Putin alisha waonya siku nyingi kwamba akipata taarifa ya kintelijensia kwamba Taifa la Urusi linatishiwa na Mataifa ya NATO akasema huo ndiyo utakuwa ndiyo mwisho wa Dunia na atanii.

Binafsi namshauri Putin atangaze vita na Ukraine mapema iwezekanavyo, bila ya kujali nchi za Ulaya zita react vipi hata ikiwemo Merikani yenyewe, bila ya Putin kufikia uhamuzi huo Zelezensky na wapambe wake watamsumbuwa sana Putin.
 
Wala mimi sishangai, Trump kigehu gehu sana, mimi nilisha mshitukia siku nyingi kwamba hana nia thabiti ya kumaliza mgogoro WA Ukraine, alichokuwa anafanya ni kumpigia simu Putin mara kwa mara lakini sio kutaka na Putin ana kwa and tangu aigie White House cha ajabu Trump amekwisha kutaka na Zelensky ana kwa ana zaidi ya mara TATU au nne!! Baada ya kugudua hilo ndiyo nikaona Trump anampigia pigia simu Putin akiwa na lengo la kumchota akili tu lakini Trump, Waziri mkuu wa Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Poland na baadhi ya Mataifa ya Ulaya(ie some NATO members wamepania kuanzisha vita na Urusi - wamepania kweli kweli!!

Binafsi namshauri Putin atangaze vita na Ukraine, bila ya kujali nchi za Ulaya zita react vipi hata ikiwemo Merikani yenyewe, bila ya Putin kufikia uhamuzi huo Zelezensky na wapambe wake watamsumbuwa sana Putin.
Trump anaye muamini ni kichaa tu, hakuna mtu anaijua akili ya Trump kuliko Ayatollah Ali Khomen 🤣 Akisema uwongo anajibiwa pale pale safi sana.
 
Putin ameona adabu aliyoshikishwa Israel na Iran kwa kupiga bila huruma.

Sasa na yeye ameona huyu Zele ni wa kuchapwa kwa hasira zote ili aombe poo

Trump hana lolote kwa Putin
Jamaa kachukua Crimea kibabe na hakuna wa kumzuia
Huyu sio Saddam eti
Iran kawatia adabu aisay hata wale Pro western kina Saud Arabia wameanza kumkumbatia Iran, hawataki kuona mziki wa Iran wa siku 12 tena unambiwa wametumia old stocks zaidi na ni kiasi walizo test ni new stocks na hizo new stocks mfano wa Sajeli na Heybar ni balaa unambiwa waliono mara ya kwanza Jahanamu ya dunia 😆 😂
 
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya anga tangu vita hivo vya zaidi ya miaka mitatu kuanza.katika mashambulizi hayo yaliotokea usiku wa july 9 urusi imevurumisha ndege zisizo na rubani takribani 800 na makombora ya baharini 13 ambayo yamepiga miji mbali mbali.

Haya yanajiri baada ya rais wa Marekkani Donald Trump kusema amechukizwa na vitendo vya rais wa ursi Vladimir Putin na anapanga kutuma silaha zaidi kyiv
Ikivuma
 
SIO URUSI NA IRAN NI URUSI NA ISRAELI NDO HAWANA MBINU ZA KIVITA
Ukitaka kujua unyama wa Israel angalia hizi Raman hapa Kila mmoja kapata dose Kwa muda wake
Screenshot_20250709-200058_1.jpg
Screenshot_20250709-200652_1.jpg
 
Iran kawatia adabu aisay hata wale Pro western kina Saud Arabia wameanza kumkumbatia Iran, hawataki kuona mziki wa Iran wa siku 12 tena unambiwa wametumia old stocks zaidi na ni kiasi walizo test ni new stocks na hizo new stocks mfano wa Sajeli na Heybar ni balaa unambiwa waliono mara ya kwanza Jahanamu ya dunia 😆 😂
Yaani dunia nzima haikutegemea Iran atafanya alichofanya
Alikaa kimya watu wakiuwawa Gaza na alikaa kimya wakati Saudia anavamia Yemen na baadae kuwapa marubani 100 wa Saudia kila mmoja RR

Iran alikubali wanasayansi wauwawe na akajibu kidogo tu

Ila akaapa kuwa atalipa kwa nguvu kubwa
Israel wakadhani anawaogopa kwa kuwa wanalindwa na US na pia EU wanamchukia sana Iran.

Ila alipopiga zile zilikuwa ngumi za Tyson aiseee, piga siku 12 tu mpaka wakaomba poo

Ila hata humu wale waliokuwa wanasema ni Taifa teule au land of promise na atakae laani alaaniwe, hatukuwasikia tena.

Kila mmoja Wetu alipata msgangao
Wazungu wanasema wa Israel wanaenda kutengeneza Taifa lingine hapo Cyprus na wamejazana haswa.

Hawatarudi tena Israel hata wapewe ahadi gani tena
Ila waarabu wote wamefyata mikia kwa Iran
Wanampa shikamoo Khamenei bila kuomba
 
Duh, Kuna shida sehemu. Aidha ya elimu, kufikiri, DINI, IQ au ukosefu wa maarifa ya kawaida tu.
 
Putin kagoma kuwa compromised, Trump anahisi anaweza kumnpangia kila mtu anachoamua
Trump kila muda analalamika Putin kashindwa kumheshimu.

Binafsi sioni ulazima wa Putin kufanya kile anachotaka Trump. Putin kaamua kuendelea na Vita, wala hana sababu za kuacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom