Tena chap.Tanzania ni member wa ICC kama Samia unamchukulia poa mwambie huyo coward akanyage bongo uone Samia atakavyomkabidhi kama kuku mikononi mwa ICC.
Tena chap.Tanzania ni member wa ICC kama Samia unamchukulia poa mwambie huyo coward akanyage bongo uone Samia atakavyomkabidhi kama kuku mikononi mwa ICC.
Lakini ukumbuke kuwa Putini anapiga Judo kichiziMwenzake Sadam alijificha chini ya mtaro wa maji-taka lakini hata hivyo walimkamata. We subiri utaona.
Sahihi Urusi wanangoja tu Putin limkute la kumkuta Wstafurahi mnoRais wa Urusi akikamatawa itakuwa shangwe kwa wote wanaokitaka kiti hicho ukizingatia hakuna utaratibu wa kueleweka wa power transfer Urusi.
Atakamatwa na Warusi wenzie Wagner Group wanaotaka kupindua serikali kwa nini uhangaike kutumia kifaru.wakati mkuki tu wa Wagner Group una uwezo kumwondoaNyie Marekani (NATO) si mnajiamini mwende mjaribu hata kukanyaga aridhi ya Urusi tu kumkamata Putin,, kama mlivyo mfuata Osama bin laden, Sadam Hussein and Ghadafi so mfanye hivyo hivyo kwa Putin muone moto wake siyo mmusubirie atoke nje na kutoa vitisho vya ajbu ajabu et akija SA tutamkamata Hovyo kabisa mfuateni kwake nyie si vidume.
Yeah.Hata hicho kinachosemwa eti wameelewana bado kimekaa kimtindo.Sio siri ile ni elite private army ya kulinda Raisi na viongozi wa juu wa Russia na Chama tawala
Waliliunda vizuri tu lengo likiwa jeshi la serikali likiasi Wagner Group wanawadhibiti liliundwa baada ya ukomunisti kusambaratika.Majeshi ya majimbo yakaasi yakasababisha shirikisho la Russia kusambaratika ikabaki hiyo Russia ndogo chini ya Putin.Ndio wakaona waanzishe jeshi private la kuja kudhibiti jeshi la serikali in case likija kuasi nchi iwe salama
Model hiyo ilichukuliwa pia na Sudan kaskazi ambako sasa hivi amani hamna Jeshi la serikali linatwangana na private Army ambao wamefunzwa kuliko jeshi la serikali si unaona mziki wake vita sudani Jeshi la serikali wanawashindwa hadi tumeletewa wanafunzi wa udaktari kuja kusoma Muhimbili
Private elite Army wanataka kupindua Sudan kaskazini washike
Urusi Wagner Group ni moto wa kuotea mbali ni Elite Army ile .Putin alivyogombana nao wakitaka kumpindua kusafiri anahofia maisha yake. Wale wamefunzwa na kufunzika hata Putin akanyage nchi yeyote wanamnyakua hawahitaji kibali cha nchi husika kiwe cha anga au chochote ni.kama tu ile operation ya Uganda ya Wayahudi kuokoa raia wao ya Operation Entebe hawakuhitaji kibali cha Raisi Idd Amin wala jeshi la Uganda kuingia na kuondoka na watu wao wakiotekwa kwenye Air France
Putin anajua hilo Wagner Group waweza penya popote nje ya nchi na kuondoka naye sababu kijeshi nchi za nje viwango viko chini kukinganisha na uwezo wa Wagner Group
Hakuna cha judo wala babake na judo wajanja wakishakuzunguka.Lakini ukumbuke kuwa Putini anapiga Judo kichizi
Toka uko nyikaniHivo ni vitisho lakin waje wajaribu kumkamata mbona kitanuka Dunia nzima itaingia WW3
Niende wapi sasa Huku Kuna amani ya YesuToka uko nyikani
😂😂😂😂Bongo bhanaa Yani mtu kuelewa kidogo tu na kutoa vimaelezo vichache na havijajitosheleza tiari ushajiona una akili😂 na kusema wengine Wana akili ndogoWanaofuatilia mambo ya Russia na vita ya Ukraine wanaelewa nilichoandika
Wewe kaa mbali na hiki nimeandika achia waelewa
Kiwango chako cha akili.kiko chini pisha wenye akili zao wanaelewa nilichoandika
Hujui kitu wew kwa maelezo yako unamanisha Kuwa hao Wagner Group ni wakubwa kuliko Jeshi la Urusi?Sio siri ile ni elite private army ya kulinda Raisi na viongozi wa juu wa Russia na Chama tawala
Waliliunda vizuri tu lengo likiwa jeshi la serikali likiasi Wagner Group wanawadhibiti liliundwa baada ya ukomunisti kusambaratika.Majeshi ya majimbo yakaasi yakasababisha shirikisho la Russia kusambaratika ikabaki hiyo Russia ndogo chini ya Putin.Ndio wakaona waanzishe jeshi private la kuja kudhibiti jeshi la serikali in case likija kuasi nchi iwe salama
Model hiyo ilichukuliwa pia na Sudan kaskazi ambako sasa hivi amani hamna Jeshi la serikali linatwangana na private Army ambao wamefunzwa kuliko jeshi la serikali si unaona mziki wake vita sudani Jeshi la serikali wanawashindwa hadi tumeletewa wanafunzi wa udaktari kuja kusoma Muhimbili
Private elite Army wanataka kupindua Sudan kaskazini washike
Urusi Wagner Group ni moto wa kuotea mbali ni Elite Army ile .Putin alivyogombana nao wakitaka kumpindua kusafiri anahofia maisha yake. Wale wamefunzwa na kufunzika hata Putin akanyage nchi yeyote wanamnyakua hawahitaji kibali cha nchi husika kiwe cha anga au chochote ni.kama tu ile operation ya Uganda ya Wayahudi kuokoa raia wao ya Operation Entebe hawakuhitaji kibali cha Raisi Idd Amin wala jeshi la Uganda kuingia na kuondoka na watu wao wakiotekwa kwenye Air France
Putin anajua hilo Wagner Group waweza penya popote nje ya nchi na kuondoka naye sababu kijeshi nchi za nje viwango viko chini kukinganisha na uwezo wa Wagner Group
Tanzania tushukuru Mungu tuna jeshi moja tu JWTZ tungekuwa na mawili moja la serikali na lingine Elite Army private wakitofautiana moto ungewaka kama Sudan kaskazini au ugomvi uliopo Russia kati ya Wagner Group na Jeshi la serikali na Putin wake
HahahahIla watu wapenda amani wakiona wanakereka moyoni.
Wenyewe warusi wanatamani dikteta aondoke wapumueHivo ni vitisho lakin waje wajaribu kumkamata mbona kitanuka Dunia nzima itaingia WW3
Mbona Noriega walimfuata Panama wakamchomoa? Au wewe King Nkondo ni mtoto wa kuzaliwa baada ya 1990s? Huyajui hayaRussia sio member wa ICC so kitendo cha kumvaa huko Moscow ni Sawa na kuvamia nchi huru, ukivamia Russia kukamata Putin unakosa hoja za kutetea Ukraine nchi huru iliyovamiwa na mhalifu wa kivita coward Putin.
KukamatwaNa Wa China naye anaogopa nini !!?
Kwani Wagner Group ni mali ya nani? Nani anamlipa Wagner?Atakamatwa na Warusi wenzie Wagner Group wanaotaka kupindua serikali kwa nini uhangaike kutumia kifaru.wakati mkuki tu wa Wagner Group una uwezo kumwondoa
Warusi wenzie ndio watamwondoa
Kuna mpuuzi hapo juu kasema eti Wagner ana nguvu kubwa ya kijeshi kuliko Jeshi la Urusi.Kwani Wagner Group ni mali ya nani? Nani anamlipa Wagner?
Wapumbavu mnadhani Prigozhin alikuwa ni mmiliki wa Wagner!! Hebu shirikisheni bongo zenu kwa kusoma free material zipo humu humu kwenye intetnetView attachment 2693915View attachment 2693915
Fuatilia Alfu uache kuandika utumbo wako hapaWenyewe warusi wanatamani dikteta aondoke wapumue
Achaneni na adithi zenu za Alinacha kama hata hujui maana ya neno by "mutual agreement" who can take you seriously - yaani kwa akili ya kawaida tu Amerika ina ubavu gani hata wa lumugusa tu Putin - kwani wao hawajipendi, punguzeni kusikiliza propaganda za kitoto za CNN na BBC maneno mengii vitendo zero kabisa mliwasikia walivyo luea wanatangazia Dumia kwba vifaru za Leopard na Challenger vikiwasili front basi huo ndio utakuwa mwisho wa jeshi la Urusi, sasa kulikokea nini baada ya vyote kitiwa kiberiti na silaha za Urusi - BBC na CNN wote kimya kabisa,je media za magharibi wamazungumzia tena HIMARS baada ya Urusi kuzipatia roketi hizo muarobaini zinatunguliwa kama nzige - nyie endeleeni kumbeza beza Mrusi kumbukeni dawa yenu hipo jikoni.Super power gani anaogopa Kukamatwa?
---
Russian President Vladimir Putin will not attend the summit of the BRICS group of nations in South Africa in August “by mutual agreement”, South Africa’s presidency said on Wednesday.
hosting the summit because, as a member of the International Criminal Court (ICC) which issued an arrest warrant for Putin in March for alleged war crimes, it would theoretically be required to arrest him if he were to attend.
The dilemma led to intense debate in South Africa and the West about whether the warrant would be executed, given South Africa’s stance of neutrality on the war in Ukraine and Pretoria’s historic ties to the Kremlin.
My Take
Usicheze na beberu USA.
Huyu YEHODAYA hajui kitu ni ushabiki tu unamsumbua muacheAchaneni na adithi zenu za Alinacha kama hata hujui maana ya neno by "mutual agreement" who can take you seriously - yaani kwa akili ya kawaida tu Amerika ina ubavu gani hata wa lumugusa tu Putin - kwani wao hawajipendi, punguzeni kusikiliza propaganda za kitoto za CNN na BBC maneno mengii vitendo zero kabisa mliwasikia walivyo luea wanatangazia Dumia kwba vifaru za Leopard na Challenger vikiwasili front basi huo ndio utakuwa mwisho wa jeshi la Urusi, sasa kulikokea nini baada ya vyote kitiwa kiberiti na silaha za Urusi - BBC na CNN wote kimya kabisa,je media za magharibi wamazungumzia tena HIMARS baada ya Urusi kuzipatia roketi hizo muarobaini zinatunguliwa kama nzige - nyie endeleeni kumbeza beza Mrusi kumbukeni dawa yenu hipo jikoni.