Uking'atwa na nyoka ; ukiona hata jani tu utashtuka. Kwa kuwa Putin alishaonja jaribio la kupinduliwa kijeshi, kwa sasa hata kama walielewana, atakuwa anaishi kimachale na huyo Prigozhin.Kwamba hao warabu wanunue Hizo Nuclear??? Fuatilia ujue Nyuklia kiundani zaidi siyo unaenda kununua kama unavyonunua Bunduki.
Kingine hao Wagner mbona wameelewana na kuhitilifiana kati Ya Putin na hao Wagner chanzo kilikua ni waziri siyo Putin lakin Badae walikaa yakaisha Wagner wakarudi kuendelea na Mission
Note: Marekani anajua moto wa Urusi ndo maana unaona anatoa maneno lakin anaogopa
Hakuna lilisilowezekana chini ya hili jua. Kununua nukes inawezekana kabisa sema ni mlolongo wenye vikwazo vingi ref. Iran.
Ni kweli Marekani anaujua moto wa Urusi na ndo mana anamwendea kwa kuchukua Tahadhari kubwa yani kama unavyo muua nyoka cobra sio kama inavyokuwa pale unavyomuua mjusi.