Putin Akacha Mkutano wa BRICS, ahofia Kukamatwa

Putin Akacha Mkutano wa BRICS, ahofia Kukamatwa

Uking'atwa na nyoka ; ukiona hata jani tu utashtuka. Kwa kuwa Putin alishaonja jaribio la kupinduliwa kijeshi, kwa sasa hata kama walielewana, atakuwa anaishi kimachale na huyo Prigozhin.
Hakuna lilisilowezekana chini ya hili jua. Kununua nukes inawezekana kabisa sema ni mlolongo wenye vikwazo vingi ref. Iran.
Ni kweli Marekani anaujua moto wa Urusi na ndo mana anamwendea kwa kuchukua Tahadhari kubwa yani kama unavyo muua nyoka cobra sio kama inavyokuwa pale unavyomuua mjusi.
Putin kaona atadhalilika bureeee kuepusha aibu kwake na taifa lake na BRICS members kaamua kuingia mitini hapo ndo utajua tofauti ya nguvu ya US na allies wake na urusi na allies wake. Kama SA na russia wanachutama mbele ya ICC basi itoshe kusema US baba lao! Nikikumbuka mikwara ya china kuwa ajuza Nancy asitie mguu taiwan na bado ajuza akaenda na akalala kabisaa usingizi mororooo na China haikurusha hata kijiwe tu ikabakia kulalama na kukata mauno tu baharini dah inachekesha sana!
 
Putin alionywa mapema kuhusu matokeo ya uvamizi kwa kaTaifa kadogo ka Ukraini kwamba kwa kitendo hicho Hakuna rangi ataacha kuona. Mzee baba kashupaza shingo eti ni supa pawa. Haya sasa supa pawa anakimbia-kimbia na kuishi kwa wasiwasi kama digidigi.
 
Sijajua Putin anakubalika na wengi ndani ya Urus au la! Ila kama wengi wanamchukia basi machale yamemcheza kwa sababu hao hao alionao karibu wanaweza kumsaliti akakamatwa huko SA kama angeenda. Kwa mfano, wangefika SA halafu walinzi wake wakajifanya wameshindwa mapambano, je, Putin angefanya nini zaidi ya kukamatwa?

Ila kama anakubalika na wengi, ingekuwa patashika kipindi cha kumkamata.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mzee kaingia mitini kaogopa kudhalilika!
 
Dhana ya kukubalika na wengi mara nyingi hupimwa kwa kutazama uwingi wa elite groups, wasomi au watu maarufu na sio uwingi wa watu wa kawaida kwani watu wa kawaida huweza kushawishika kirahisi na kufuata mkumbo. Tukiangalia kwa upande wa Putin kipindi anaanzisha vita wale watu matajiri na vijana wengi waliikimbia nchi na kwenda nchi za nje e.g. Ufaransa,Poland, Sweden, Germany n.k. na wengine walijiua kutokana na hali mbaya ya kiuchumi na vikwazo vilivyowekwa. Wale elite gps baadhi yao walikamatwa na kulazimishwa kujiunga jeshini(Mobilisation), wale askari(Wafungwa) waliolaghaiwa kutoka magerezani kwa ahadi ya kupata msamaha(Parole) wengi wao waliuawa vitani kwani walikuwa hawana mafunzo ya kutosha ya kivita. Umati wote huo hapo juu 👆 wakiwemo pia wake , watoto na marafiki wa askari waliofia vitani hawatakuwa na upendo kwa Putin na watamsema vibaya.
 
Ninyi wafuasi wa western ni wapumbavu sana
 
Kama una uwezo wa kumchinja kobe huhitaji timing!! Unamchinja tu!!

Mbona Rais Manuel Noriega wa Panama walimchukua kama panya buku mwaka 1990?
Elewa basi huo msemo wa kumchinja kobe mkuu, Noriega wa Panama na put putin wa Rusia ni watu wawili tofauti.

West huwa wanapima madhara kabla ya kutenda jambo......
 
Nje ya Moscow hasa

Nje ya nchi akikanyaga popote mwewe wa Wagner Group wanaondoka naye
Hakuna nchi yeyote yaweza zuia operation ya Wagner kumdaka Putin nje ya nchi haipo

Hata wajipange vipi lile jeshi limefunzwa kuliko jeshi la serikali ya Russia

Putin anajua hilo kuwa hayuko salama kabisa nje Ya Moscow

Anajificha kwenye mashimo kama nguchiro
Mafunzo yake hio Wagner wamepata kutoka nchi gani?.
 
Back
Top Bottom