Hivi wew unaifahamu Russia Yani ukamate kiongozi wao Alfu wakuache hivi hivi wajalibu waone,,,Mmmmh! Kama wakifaulu kumdaka, basi tena itakuwa kama akina Osama bin Laden, Sadam Husein na yule jamaa wa Libya. Ndo mwisho wa stori na majigambo yake na vitisho vya vita WW3.
Anaogopa Wagner Group lile ndilo.jeshi shupavu lilikuwa linamlinda lina mafunzo makali kuliko jeshi la Urusi la serikali kugombana naoPutin ni noma sana. Unaambiwa mwamba ana machale kama Bruce Lee vile. Alitaka kwenda SA lakini machale yakamcheza akaamua kuchuru, halafu ghafla akaifuta safari.
Hii yote ni sababu ana machale, angekua rais mwingine angeenda halafu angekamatwa
Mkuu, mbona kuna matukio ya tena ya hivi karibuni tu ya namna hiyo yanayo onesha kitatokea nini kama wakimkamata?Hivi Unadhani Nchi yeyote ikimkamata Rais wa Urusi nini kitatokea?? kwanza unajua ni watu wangapi watauwawa katika jaribio hilo na nn Urusi itafanya??? acheni utani hata hao SA ni mabwege tu wanaogopa Marekani wajinga sana
Umeandika ninAnaogopa Wagner Group lile ndilo.jeshi shupavu lilikuwa linamlinda lina mafunzo makali kuliko jeshi la Urusi la serikali kugombana nao
Nchi za magharibi zilishakuwa tayari kuwalipa pesa yeyote watakayo akitua tu South Afrika wabgemnyakua kama mwewe na kumkabidhi the Hague
Urusi anaishi kama nguchiro haeleweki leo kalala shimo gani
Anajua kabisa akitoka nje ya njenWagner Group wanamdaka Wale wana uwezo wa juu mno kivita kiasi kuwa Jeshi la Afrika kusini hawawezi wazidi nguvu kivyovyote wakiaendesha operation zao za kukamata Putin South Afrika jeshi lao.halina ubavu huo
Kunguru mwoga hukimbiza baba lake
Akanyage South Afrika aone mziki wake
Break ya kwanza the Hague
Sumu haionjwi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna binadamu anayependa kujaribu kuyaweka maisha yake rehani/poni.
Kukamatwa kwa mtu maarufu kama Putin ni aibu kubwa na fedheha lakini kubwa zaidi ni kuhusu huko watakakomhifadhi kwani itakuwa ni madhila na kero tupu kwake.
Mkuu, kwani Waarabu kiliwashinda nini, si wangeliweza kununua hizo silaha (Nuke bombs)?Hivi wew unaifahamu Russia Yani ukamate kiongozi wao Alfu wakuache hivi hivi wajalibu waone,,,
Na usiringanishe na warabu waoga waoga hao na nikukumbushe laiti hao warabu wangekuwa na Nuclear Bombs sidhan kama USA angekuwa anawasigelea Wala kuwakamata viongozi wake,, Sasa ajichanganye aingie Kwa Russia moto utakao Waka siyo Mchezo ni zaidi WW3
Urusi Na hao Mabeberu ni watu wanaondena kiuchumi na kijeshi utofauti wake siyo Mkubwa sanaa na wote ni wakubwa, endapo Raisi Putin akikamatwa tegemea kinacho enda tokea ni vita ya Dunia maana Russia na USA chokochoko yao ni ya mda mrefu Sasa wakimkamata nadhani Sasa itakuwa ni dharau kubwa kwa Russia, kinacho enda tokea only God know.Mkuu, mbona kuna matukio ya tena ya hivi karibuni tu ya namna hiyo yanayo onesha kitatokea nini kama wakimkamata?
Vp Umeshamsahau yule mbabe wa Al-qaeda, na yule njemba wa Syria? au komandoo yule wa Libya? Ni hakika pasi na shaka; Akishakamatwa bro. inakuwa ni "Game over" na ukimya, utulivu na amani vitatamalaki. Hakuna tena atakayekuwa anashughulika naye-wakiwemo makamanda waliokuwa wana mpigia saluti.
Umeandika kujibu tu au ulisoma kuelewa ukajibia..!??China alitoaga mkwara mavi/mbuzi eti aliyekuwa spika wa Marekani Nancy Pelosi akikanyaga Taiwan Marekani atakiona cha moto. Nancy alienda hadi kuhutubia bunge la Taiwan na kuondoka China akabaki kama kuku aliyenyeshewa.
Kweli kabisa mkuu, abda kama hujipendi. 😳
Kama kweli ye ni kidume si aende south Africa sasa!Hivi wew unaifahamu Russia Yani ukamate kiongozi wao Alfu wakuache hivi hivi wajalibu waone,,,
Na usiringanishe na warabu waoga waoga hao na nikukumbushe laiti hao warabu wangekuwa na Nuclear Bombs sidhan kama USA angekuwa anawasigelea Wala kuwakamata viongozi wake,, Sasa ajichanganye aingie Kwa Russia moto utakao Waka siyo Mchezo ni zaidi WW3
USA hatapigana vita na Russia bali USA, NATO na EU wamejikita kuwezesha kumkata Putin as a person. Ndo mana Putin anawayawaya/kujifichaficha lakini Russia kama nchi haina sababu ya kukimbia-kimbia bali inaendelea kupewa kichapo na Vijana wa Ukraine.Urusi Na hao Mabeberu ni watu wanaondena kiuchumi na kijeshi utofauti wake siyo Mkubwa sanaa na wote ni wakubwa, endapo Raisi Putin akikamatwa tegemea kinacho enda tokea ni vita ya Dunia maana Russia na USA chokochoko yao ni ya mda mrefu Sasa wakimkamata nadhani Sasa itakuwa ni dharau kubwa kwa Russia, kinacho enda tokea only God know.
Kingine Usilinganishe warabu na Russia aisee hao warabu Nguvu ya kivita ya kupambana na USA hawana hao akina Al kaida hawana Uwezo wa kupambana na USA na ndo maana walikua wanaonewa sanaa lakin Kaa ukijua hili,, Russia ni Nchi kubwa kiuchumi na Kijeshi na USA ni kubwa Kiuchumi na Kijeshi na hao Wana silaha hatari Duniani ambazo ni Nuclear so endapo itatokea vita baina yao tegemea Dunia kurudi miaka 1939-1945
Tuache ushabiki
Kwamba hao warabu wanunue Hizo Nuclear??? Fuatilia ujue Nyuklia kiundani zaidi siyo unaenda kununua kama unavyonunua Bunduki.Mkuu, kwani Waarabu kiliwashinda nini, si wangeliweza kununua hizo silaha (Nuke bombs)?
Russia iliyowika ni ile ya zamani au itakayowika ni ile Russia bila Putin. Kiongozi wa Urusi aliyeko madarakani (Putin) kwa sasa anao maadui wengi nje na ndani ya nchi yake wakiwemo maswahiba wake(Makamanda wa kijeshi). Aliyekuwa akimgiga Tafu Mrussi i.e. Wagner PMC wamehitilafiana tayari kiasi cha hao Wagner (Prigozhin)kutaka kumpindua Rais Putin kijeshi.
Kama wakifaulu kumdaka, kwa kweli dunia itapumua ehuuuuuu. na itawapongeza sana watakaofanikisha hilo kwani Putin na maamuzi yake ya vitisho na majigambo mengi kwa sasa imekuwa ni Too much
Yeah. Majibu yatapatikana. Tusiandikie mate na wino upo. Aende tujue kweli yeye ndo kidume.Kama kweli ye ni kidume si aende south Africa sasa!
Hahahah 😂 kichapo gani Ukraine anatoa Russia aisee...USA hatapigana vita na Russia bali USA, NATO na EU wamejikita kuwezesha kumkata Putin as a person. Ndo mana Putin anawayawaya/kujifichaficha lakini Russia kama nchi haina sababu ya kukimbia-kimbia bali inaendelea kupewa kichapo na Vijana wa Ukraine.
Kwanini wanasubiri afike SA? Kama ICC ni vidume waende Moscow wakamchukue, yupo telePutin ni Simba wa kuchora hang'ati Yule!!
Ni mjinga tu anayeweza kufikiri kama wewe yule ni rais wa nchi yenye nguvu bora ya kijeshi kuliko zote duniani.Mmmmh! Kama wakifaulu kumdaka, basi tena itakuwa kama akina Osama bin Laden, Sadam Husein na yule jamaa wa Libya. Ndo mwisho wa stori na majigambo yake na vitisho vya vita WW3.
.Hahahah [emoji23] kichapo gani Ukraine anatoa Russia aisee...
Nchi imearibiwa imekua kama Magofu asilimia kubwa Ukraine imebaki kama dampo hakuna palipo Salam
Soon huyo NATO atawakimbia Ukraine trust me wataachwa kaama watoto yatima
Sahihi Putin akidakwa tu vita imeishaMkuu, kwani Waarabu kiliwashinda nini, si wangeliweza kununua hizo silaha (Nuke bombs)?
Russia iliyowika ni ile ya zamani au itakayowika ni ile Russia bila Putin. Kiongozi wa Urusi aliyeko madarakani (Putin) kwa sasa anao maadui wengi nje na ndani ya nchi yake wakiwemo maswahiba wake(Makamanda wa kijeshi). Aliyekuwa akimgiga Tafu Mrussi i.e. Wagner PMC wamehitilafiana tayari kiasi cha hao Wagner (Prigozhin)kutaka kumpindua Rais Putin kijeshi.
Kama wakifaulu kumdaka, kwa kweli dunia itapumua ehuuuuuu. na itawapongeza sana watakaofanikisha hilo kwani Putin na maamuzi yake ya vitisho na majigambo mengi kwa sasa imekuwa ni Too much